Search results

  1. Mitomingi8s

    INAUZWA Makaro ya kisasa (bio digester)

    Hii Kitu je ina Faa Dodoma? kuna sehemu kuna chem chemi kipindi cha mvua
  2. Mitomingi8s

    Bodi za mazao Nchini kuunganishwa na kubakia tatu pekee

    mpalapata hendeli, Hahahahaaaaa hatari vitakuwa kwenye mbogamboga kitengo cha matunda
  3. Mitomingi8s

    Mada: Gharama za Nyumba za kupanga vs kukopa kujenga

    Hii Safi sana imetulia Ni kujilipua tu mzee
  4. Mitomingi8s

    MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Lazima lilipe kodi maaana lilipita wapi hadi kufika nyumbani? yaani kwenye mafuta ndo pahala sahihi kabisa
  5. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    N Nilisikia kuwa fao lipo ila ppf bado wanabana
  6. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Haaaaaa hongera aisee kwahiyo na mimi naweza jaza form zangu nikapeleka kibabe? Wasipopoppkea unawaachia kwa nguvu ehee naombeni ushauri hapo
  7. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Tu fuatilie kote maana nasikia na taarifa za ndani tu ssra hawahusiki sina uhakika ebu tufuatilie
  8. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Yangu hii 0784746840 mimi ndo hata form sikupata walisema tu wamesitisha Tufungue group za watsapp ili tuwe tunapeana taarifa wahanga wa ppf
  9. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Aisee mimi sina updates naomba kesho ukiibuka hapo PPF tujuze kama bado waulize huo waraka upo wapi na wametangaza wapi onana na manager wa kanda na siyo vidagaa hivyo reception komaa nao hadi wakupe jibu
  10. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Acha ujinga wewe hiyo ya 2012 ilishakataliwa kama wamezuia kisheria si watangazeee wafanyakazi wajasiliamali tuelewe
  11. Mitomingi8s

    Kauli ya Rais Magufuli ya 'Watu Kuishi kama mashetani' inahalalisha maovu

    yapi hayo mambo niambie maana na mimi nimezaliwa porini
  12. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    UPDATES; Nimepita nssf kucheki balance zangu nikaona mambo poa tu watu wanaclaim pesa zao saafi nimeamua kuendelea na nssf badala ya PPF maana wanakalia pesa zetu pasipo sheria ya kutolipa....
  13. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Sawa mkuu nitafanya hivyo na wengine wenye shida kama mimi tuungane tupeleke barua
  14. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Inaonyesha ni PPF tu sina hakika huko kwingine
  15. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Pole na wewe yamekukuta haya tuungane wote tutafute majibu ebu wacheki SSRA kwanza tuone mimi nimepost kwenye webu yao kuwauliza baana kuona sion contact zao.........
  16. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    Umeona ehee yaani hawana sababu maalum wanaseama tu wamepewa order
  17. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    walio karibu na ssra au mtu mwenye meno makali atusemee hela zetu hizii jamani
  18. Mitomingi8s

    SSRA wazuia ku-withdraw mafao PPF kimya kimya

    ahsante ndiyo nimepigwa stop na ppf mtaji wangu wameukalia
Back
Top Bottom