Search results

  1. M

    Nafasi za kazi mpya

    Ni kweli MUNGU hana upendeleo na humpa kila mtu kwa nafasi yake na kwa wakati wake. Sio mvivu na sijachoka kutafuta. Nashukuru kwa mchango na ushauri wako tuombeane kheri ndugu.
  2. M

    Nafasi za kazi mpya

    Ni social studies ndani ya hii kozi kuna socialogy
  3. M

    Nafasi za kazi mpya

    Nashukuru ndugu na hongera kwa kuwa na masters. ila masters isikufanye udharau elimu ya wengine kila mtu na alivyojaliwa.
  4. M

    Nafasi za kazi mpya

    Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote naomba mjitokeze jamani kunisaidia
  5. M

    Nafasi za kazi mpya

    Asante ndugu
  6. M

    Nafasi za kazi mpya

    Moshi maeneo ya KDC
  7. M

    Nafasi za kazi mpya

    Habari wana jamii wenzangu naombeni msaada wenu kwa yeyote anayeweza kunisaidia kazi au kunipa connection ya kazi niko Moshi nimesoma Diploma ya social studies. Asanteni.
  8. M

    Ninauza na kutengeneza keki za aina mbalimbali

    Habarini wana jf ninauza keki nipo Shinyanga kwa wanaohitaji, pia natengeneza keki kwaajili ya birthday, kipaimara, komunyio, na sherehe mbalimbali kwa bei nafuu kwa anayehitaji tuwasiliane PM.
  9. M

    Natafuta kazi, nina diploma ya social studies

    Habari wana jamii Nina Diploma ya social studies, nipo Tanga Natafuta kazi iliyokuwa ya halali, tafadhali.
  10. M

    Natafuta kazi nimesoma diploma ya social studies

    wala haijafika laki ndugu isitoshe ya kuazima , mm namiliki nokia tochi
  11. M

    Natafuta kazi nimesoma diploma ya social studies

    sawa nashukuru sana nalitambua hilo pia mtaji ndo shida
  12. M

    Natafuta kazi nimesoma diploma ya social studies

    Habari wapendwa natafuta kazi yoyote ya halali nimesomea diploma ya social studies, nipo mkoa wa Shinyanga.
  13. M

    Natafuta kazi

    Habari wana jf ninatafuta kazi nimesomea sayansi ya jamii Niko Shinyanga yoyote mwenye kuweza kunisaidia ani PM.
  14. M

    naombeni msaada kwa hili

    habari zenu wanajamii naombeni mnisaidie nimesoma diploma ya social studies natafuta kazi kwenye NGO's hata yakujitolea nipate tu ya nauli nipo Tanga. Email: madata84@gmail.com
  15. M

    Diploma in Procurement and Logistics Management.

    Habari zetu wana jf, ninaomba msaada kwa yoyote yule anayeweza kunisaidia nina rafiki yangu anatafuta kazi amemaliza Diploma ya Procurement and Logistics Management katika chuo cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA) mwaka huu, yuko Arusha kwa sasa kwa yoyote anayeweza kumsaidia ani PM, yuko...
  16. M

    Changamkieni hii dili

    Bofya hii link kwa matokeo zaidi. Redirect
  17. M

    Msaada wapi zilipo office za Ifakara Health Institute hapa Dar

    Habarini wana jf naomba kwa anaefahamu ofisi za Ifakara Health Institute kwa hapa Dares salaam anielekeze tafadhali. Asanteni.
  18. M

    Njia ya kujiingizia kipato

    Bofya hii link: CashBarn :: Diamonds And Cash Giveaways!
  19. M

    Mshahara ngazi ya stashahada

    Diploma ya social science, kwenye NGO, position community mobilizer
  20. M

    Mshahara ngazi ya stashahada

    Thanks, Idara ya social science, nafasi ni community mobilizer.
Back
Top Bottom