Search results

  1. C

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    Hicho kitabu inaonekana si cha kawaida, kinaandikwa na Mwalimu Nyerere halafu kinafichwa, na mimi nitakitafuta nijue yaliyomo humo ndani.
  2. C

    Migodi isiyo na tija

    Hivi karibuni tumesikia juu ya vifo vya wananchi Mgodi wa Nyamongo.wawekezaji wanasababisha watanzania kuwa kama watumwa kwenye nchi yao.Serikali yetu itabadilika lini ili wananchi waweze kufaidi maziwa na asali vilivyomo ndani ya nchi yao pasipo dhuruma? mwisho wa siku tutakuwa na blood...
  3. C

    Tanzania mpya

    Naiona Tanzania mpya inakuja,....yenye viongozi wanojali maslahi ya taifa na wananchi kwa ujumla.viongozi wasiozibwa midomo panapokuwa na jambo nyeti la kulitetea. MAWAZIRI Mwakyembe na Sitta ni mifano BORA na yakuigwa Tanzania,naamini wapo wengine watongezeka nyuma yao.nani asiyejua kuwa Dowans...
Back
Top Bottom