hahahahahahahahahah!!!mlishajiroga wenyeeeeweeeeeeeeeee!!haya jilaumuni..mlishaambiwa mechi ni dakika 90 uwanjani sa nyie mnatabiri ikiwa ni dk ya 1??...LAKUCHUMPA BAAAAAAAAAB!!!!
Great. Ila mi najiuliza ni vipi nitajua tabia ya mama ake endapo anaishi mbali mno?mfano mi nipo Arusha afu mamkwe mtarajiwa yupo Mtwara? Mambo mengi yananipa taabu kidogo kwani watu siku hizi hatuaminiki kabisa yaani tumekuwa wabaya kuliko hata wanyama.
mzalendo 80 sema mwenzangu...........ni madereva daladala wenye akili timamu na walala hoi wanaoona vya kwao vinaliwa na makada bila wao kunufaika navyo sa kwanini tusiwatoe nishai wanaotumaliza??????????wao walianza sie twamaliza mkuu.waendelee kuwa vilaza kwa kudai mwongozo kila kukicha...
inawezekana mwenzangu..ila
mwenzetu bado yupo enzi za urindi na ulimbombo....hata akijivua gamba sumu ipo palepale...
namshauri abadilike kutokana na mazingira la si hivyo amekwisha na anazidi kumaliziwa.
hakuwapa sawa bali aliwapa wa kimawazo na ndiyo maana leo anakuja kuzungumza nao..
sasa hawa wengine walitoa msaada gani hali ya kuwa wananchi walikuwa wakiteseka na hali tete ya usafiri????huoni LEMA alitoa angalau unafuu wakamwelewa na kufanya kazi??.
kichekesho kivipi???????????
kwani hao madereva wa daladala sio watu ni wanyama au???....
hahahahahaha!!!!labda nikucheke wewe huenda hujamuelewa muanzisha mada........cha kuchekesha ni kwamba mbona walimsikiliza lema na wakafanya kazi na hawakuwasikiliza hao makamanda wenye kupokelewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.