--------------------------------------------------------------------------------
Tatizo la Kubenea ni njaa yake, kila uchao yeye na Lowassa ndio uandishi gani huo? Its really boring huyu jamaa ni wa kusamehewa tu. To my best knowledge in assessing leaders there no-one who ticks all boxes...
Ukweli kuhusu MBIVU na MBICHI utaeleweka LEO !!! Heko kijana wa Chadema (Kigoma), Mh. Zitto sema usiogope kwani walalahoi wote tuko nyuma yako HASA kwa SALA !!! Mwaga nyuki rusha MAWE mpaka kielewekeee hapo BUNGENI maanake wamezoea kutudanganya HATA KAMA SISI NI WADANGANYIKA !!!!!!!!! Mwisho wa...
"Man is conceived in sin and born in corruption and he passeth from the stink of the didie to the stench of the shroud. -- Willie Stark in All the King's Men"
Kama MKAPA BADO ANATAMBULIWA KUWA NI MWANAFAMILIA WA NYERERE LICHA YA KUIUZA NCHI THEN KWANINI TUSISEME MWALIMU NDIYE ALIMTUMA KUFANYA HIVYO NA TO HELL WITH MWALIMU KWANI NA YEYE NI FISADI(MUNGU AENDELEE KUMLAZA PEMA PEPONI)
Kama mwalimu hakuwa fisadi then kwanini alimchagua MKAPA NA YEYE...
Hayo majibu yote ni POYOYO za kuwafanya WADANGANYIKA wazidi kukaliwa na wachache vichwani LAKINI tunadhani hatuna mtu wa kutuwakilisha sisi WANYONGE kwani tuliyekuwa TUNAMTEGEMEA ndiyo katoa MAJIBU anayoyaita MAKINI !!!!!! LAKINI HATA HIVYO TUTAFIKA HATA KAMA IKIWEZEKANA...
Buriani kaka yetu Kipepe. He said,"I was born with nothing, and I will die with nothing. The LORD gave, and now he has taken away. May his name be praised !". JOB 1,21
Hivi unategemea nini kwa mtu au Mkuu wa Shirika aliyewekwa na mjomba wake akafanya au akalifanyia shirika mambo ya maana kama sio kulihujumu ??? Hii ninamzungumzia CEO wa PPF yaani Bw. William Erio, ambaye ni mpwa wake Che Nkapa (Mr. Kiwira) kama ya kuuhachia URAIS wa awamu ya tatu aliamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.