Search results

  1. C

    Wakurugenzi wa Taasisi, Makatibu wa Wizara, Wakurugenzi wa Wilaya na Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Mikoa wawe wanafanyiwa usaili

    Kamsikilize tena vizuri ni WAKURUGENZI WA TAASISI ZINAZOFANYA KAZI KIBIASHARA syo wakurugenzi wote
  2. C

    Kama umesikia lolote kuhusu msamaha wa kodi za miaka ya nyuma alioagiza Rais Samia kwenye bajeti ya leo tuambie

    Go back to school. Sasa hyo inahuaiana vipi na bajeti ya 22/2023? Kama hurudi shule baki na upumbavu wako
  3. C

    Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Mchakato wa hicho kiwanda ulianza back 2010 wakati wa jk
  4. C

    Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

    Mazingira yawe rafiki sasa fashisti alifanya mazingira kimbiza wawekezaji
  5. C

    Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

    Una umri gani hapa tanzania kwanza halafu ndo upate majibu
  6. C

    Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Wewe unaedanga hujioni
  7. C

    Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

    Instanbul njooo kuna mtu mchokonozi huku[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. C

    Mnyika: Viongozi waliokimbilia nje ya nchi sasa warudi nyumbani suala lao lilikuwa katika ajenda za Maridhiano

    Mungu aliingilia kati akatuliza bahari ikatulia, sasa bahari imetulia. Atukuzwe Mungu milele
  9. C

    Nimemfuma kaka yangu anaabudu mizimu

    Ww mwendawazimu sasa huku baba yako na ndgu zako ndo wako humu.?
  10. C

    Hakuna mkimbizi wa kisiasa aliyekimbia utawala wa Magufuli

    Unafiki upi wakati kina azroy, saa nane,mawazo hatunao
  11. C

    Pembeni ya Msikiti atakaouzindua Rais Samia kuna Stendi Kuu ya matope Bukoba. Anaweza asiione kabisa!

    Je uwezo wa kiuchumi ktk mkoa huo unaweza kupata mapato yanayowezesha stend kujengwa? Maana stend ni ya manispaa na fedha za ujenzi zinatakiwa zitokane na mapato ya manispaa, kama hamzalishi mnataka mjengewe stend mkoani kwenu kwa fedha toka kwa walipa kodi wote? No no no no instanbul
  12. C

    Mnaomshinikiza Rais Samia amuachie huru Sabaya acheni, Mwacheni Sabaya avune alichopanda!

    Bahati nzuru HAMDUN by then alijuwa RPC Arusha na alikuwa hawezi kumfanya lolote sabaya pamoja na kuingia kibabe ktk eneo lake la kazi bali ali mre serve, na ana taarifa nyingi sana za sabaya. Kumbuka hamduni sasa ni mkurugenzi TAKUKURU na probably next IGP
  13. C

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Balozi hana sifa ndo maana hata unadhimu alinyang'anywa na mama, so dont expect
  14. C

    Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kwanza yacoub aliondolewa purposely, ni shemeji wa mwendazake. Hata hivyo unatabiri ili iwe nini, akiwa ulomtabiri unapata nini na kwa faida ya nani.
  15. C

    Huu ni ukiukwaji mkubwa wa katiba ya JMT. Viwanja vya CCM kukarabatiwa kwa pesa za walipa kodi

    Hawajawahi kuruhusiwa hata mara moja kuvitumia, tutajue tarehe walizoingia humo nyanjani
Back
Top Bottom