I am getting a hard time uploading the photos. Nimejaribu kuiattach ila hazitokeai. Kwa ambae yuko interested naomba anicheck kwa number ya simu then naweza kutuma picha hata kwa watsapp
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wadau nauza toyota harrier 2.4 litres ina odometer ya km 85000 bei ni maelewano. Ina alloy rims na low profile tyres. Iko kwenye excellent condition. If you are interested nitafute kupitia 0758500001 au 0652313131
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
The car is on an excellent condition. Ina odometer ya 80000km, sports wheels na matairi mapya. Price 24mil. Its negotiable. Contact me through 0758500001. Serious buyers only.
Kufanya itafanya kila ki2 kulingana na mashine yako ina specifications gani. Kwenye inpriron 1525 na 1545 ukifuatilia procedures kila ki2 kitafanya kazi kama inavotakiwa. Na applications zote utakazoziingiza zitakua ni za apple. Apple zina nafasi yake huwezi kulinganisha PC ya kawaida na apple...
Viva la vida, violet hills, life in technicolor, the escapist, clocks, major minus, etc. Jamaa hawakosei
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mtu asieifahamu hii gari hawezi kuipenda. Ina handling nzuri, traction control nzuri, torque yake ni kubwa, etc. Spare parts zake ni durable. Ulaji wake wa mafuta ni mzuri usipoivuta. Ila ukiwa unapenda kukimbia na kuifungua turbo kila mara itakupa average ya 8km kwa lita moja. Gharama za spare...
Inawezekana kurun Mac OsX kwenye PC. Nimeshawahi kufanya hivyo na sio mara moja. Nimeshawahi kufanya kwenye laptop aina ya dell inspiron 1525, 1545 na Hp G60. Kwenye dell inspiron 1525 na 1545 inakubali zaidi. Ila issue ni kwamba hii OS ilikua designed kurun kwenye mac kwa hiyo kuna watu...
Kwa kusema ukweli naamini ya kwamba chuo kikuu chochote kilichosajiliwa na TCU kinatoa kiwango bora cha elimu. Ila interview nyingi hasa zile za serikalini zimekua zikipima personality ya wanaosahiliwa kuliko competence ya wasahiliwa. Ninajaribu kusema kuwa, kwa upande wa serikalini, probability...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.