Search results

  1. Kubalaza

    Mbegu za tikiti maji zina faida gani mwilini ?

    Nimekula nimeamin...nipo fit sana tano kwa sita
  2. Kubalaza

    Dodoma: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakamatwa kwa tuhuma za kuvaa T-Shirt zenye maneno ya kichochezi

    Hivi elimu yetu haitusaidii eeeh...hivi ukikaa kimya na kufanya majikumu yako inakuwaje..kwann mnawashwa na kuichokoza serekali...watandikwe hao bara'bara
  3. Kubalaza

    Dar: Mwanadada ayagonga kwa gari majambazi 4 yaliyompora fedha kwa bunduki ya SMG

    Weeee jamaa nimecheka sana...wakulya ndo wakorofi au
  4. Kubalaza

    Msaada: Jinsi ya kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba

    Mimi nyumba yangu cna chochote zaid ya mkataba wa kiwanja basi
  5. Kubalaza

    Nataka nisiwahi kupiga bao nifanyaje?

    Daaaa nimecheka sana... Fanya mazoezi ya viungo...afu pinguza michepuko...kunywa bavaria 8.6%...hapo lazima atauliza nn umekula leo...kingine mkuu muandae kwanza
  6. Kubalaza

    Mkuu wa Mkoa wa Dar amtaka Meya wa Kinondoni aache malumbano afanye kazi

    Daaa mayor jaribu kuwa na haiba flani ya kutoropoka...kaa utulie piga kazi malumbano yasiyo na tija tupa kule..cpendi mtu anaelalama bila kuwa na 7bu za msingi...umekuja juzi tu nawe unatafuta kick...fanya kama makonda watu wana appreciate uwepo wake...sasa ww kama utajifanya unajua sana kuliko...
  7. Kubalaza

    Nahitaji red garnet ya gololi; amethyst, rhodolite, zircon

    Nicheki 0759313890...nikymbushe kwa wasapu kuna mzee anayo aina nyingi huwa anakosa wateja...saivi naenda kijijin kumcheki
  8. Kubalaza

    Nahitaji kujua bei za bati za South Afrika

    Nenda maduka ya jeshi...either magereza ..jwtz...military shop...wazuri sana pia ni chee
  9. Kubalaza

    Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Wanaotaka kulima zao lolote lile wanione..nipo kibaigwa naweza kumpa akili ya kutoka...awe na moyo na apende kilimo...tikiti..kitunguu nyanya hoho...mana ktk ekari mbili watu hupata hadi million 20 na zaid kwa muda wa miez 4 ~6...0759313890... pia nikiwa kama mtaalam wa mifugo ntkupa njia za...
  10. Kubalaza

    Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Wahaya wanasema wakola waitu
  11. Kubalaza

    Hii ni kwa wafugaji wa kuku wa kisasa/kienyeji

    Kwa dodoma verry easy lkn kwa Dar cjajua
  12. Kubalaza

    Mabati ya Kuezeka: Aina na Ubora

    Bora kama unajua kitu weja wazi kwa faida ya wote...bdo mana ya kushare mawazo cc ambao hatujui tufaidike
  13. Kubalaza

    Mabati ya Kuezeka: Aina na Ubora

    Mkuu wanauza bei gani...mi nahitaji yale ys kawaida 28g
Back
Top Bottom