Natamani hakimu angepitiwa Lema anyang'anywe ubunge halafu uchaguzi urudiwe,am sure kwa jinsi Arusha palivyopatamu kwa sasa,magamba wataambulia chini ya 10% ya kura zote,the rest CDM...sema 2 uchaguz ni gharama.
Hauwezi kutaja majembe vijana ndani y CDM ukamuacha Godbles Lema MB Arusha mjini,pia hauwez kwepa kumtaja Joseph Mbilinyi a.k.a. Sugu hawa watu wanaushawishi mkubwa.

Well said mkuu,ila sina hakika na hiyo idadi ya wabunge 16.Je,hiyo ni idadi ya wachaga waliopewa viti maalum au ni idadi ya wawakilishi wa mkoa wa kilimanjaro.Kuna uwezekano mbunge akawa toka KLM lakini si muwakilishi wa KLM.Kama kuna mwenye kuwajua wabunge hao 16 hembu atupatie...

Hata kama wabunge wote wakiwa wachaga,maadam wamechaguliwa na wananchi sioni tatizo.Je ni kweli wabunge wote CDM ni wachaga?Ukwel unaujua mwenyewe.

Nashukuru kwa taarifa,sikupata kuuangalia mkutano wa ufunguzi,pia sina acces sana na tv,mara nyingi news nazipata humu na kusoma magazet.Je RA alizungumza siku hiyo?Ama kweli magamba hamnazo.
Hivi wadau mnauhakika na mnayochangia?Mpaka sasa RA hajashiriki kampen directly,hajapanda jukwaani hata mara moja,ushiriki wake bado ni tetesi tu eti ameombwa na Jk.Sipingi hili,na ni unafiki mkubwa kwa RA na magamba kama kweli wataamua kumtumia RA Igunga,ila ninachotaka kusema ni kutaka wanajf...
WAPI NJOZI YA MWANAKIJIJI? Samahanini wanajamvi kwa kuingilia mada,kuna ishu inanitatiza na asubuhi nilianzisha thread ili nipate msaada ila sijaiona ikibandikwa,sijui haikukizi vigezo au la.Ni hivi wakuu,siku za nyuma kidogo kwenye mwezi wa saba kulikuwa na chapisho la Mzee Mwanakijiji...
Wadau kuna makala fulani ilikuwa ikichapishwa kwenye gazeti la Tanzania kila Juma tano kama nakumbuka vizuri,iliyokuwa imebeba kichwa 'Njozi ya Mwanakijiji.Nilipata kuifuatilia kwa majuma matatu mfululizo,baada ya hapo kutokana na sababu fulani sikuwa na acces ya magazeti hivyo sikujua...
Sijui ni kwa nn wanajf tumekuwa wagumu kumuelewa mtoa hoja,na zaidi amejitahidi kuelewesha vizuri.Ni ukweli uliowazi kwamba tuliowengi humu ni ama mashabiki,wafuasi ama wapenzi wa CDM,hilo si tatizo hata kidogo.Shida niionayo ni pale fikra zetu,mawazo yetu na utashi wetu unapofungwa na mapenzi...
Thanks mkuu, nimekupa LIKE kubwa.
Kidogo nimepata picha ya nn kiliongelewa hiyo jana, wengine wote walikuwa wanamung'unya maneno, kama una muda mkuu hebu tujuze kwa undani topic unazokumbuka na jinsi walivyochangia japo summary ili hata ambao hatujupata fulsa ya kuutazama huo mdaharo tupate kitu.

Hatukatai Pm kutofautiana na rais,ila si kwa hili la Pm kujiridhisha na kutoa tamko zito la hukumu tena bungen kisha ikulu-raisi anamsafisha na kupingana na Pm minister wake.

Naunga mkono hoja,jamani wanajamvi naomba tuwahamasishe ndugu na jamaa,saa ya ukombozi ni sasa,mapinduzi huanza na watu wachache,hebu na yaanzie hapa,thread hii iwe moto wa ukombozi dhidi ya wadharim na walevi wa madaraka,hiyo jtatu na tujitokeze kwa wingi mitaani.
Hivi tz mabomu yanapatikana wapi?Nimelalamika imetosha,kama kuna mahal yanapatikana wenye roho ngumu tupewe,tuanze kulipuka na magamba mmojammoja,alaaaaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.