Search results

  1. M

    Dr. Willbroud Slaa on his TWITTER account today!

    Kama hujui shut your beak, Nahisi ungekuwa wa msaada zaidi ukiwa kimya kuliko ulichosema. Wewe ndo kwingine au?
  2. M

    Muokoeni mama yangu

    At this point naomba niwashukuru wote mliopata mda kushare ma experience and pain regardless of who and what he or she said, making a point to read my post was encouraging enough may you all be blessed na mungu awaepushia yalionifika mwenzenu
  3. M

    Muokoeni mama yangu

    Baba namjua sana, ni mjanja sana katika kesi kesi, naimani nikimuomba tukae tuongee kifamilia ataleta hoja kwamba wote tupo against him, kibaya zaidi atapata point ya kumsingizia maza kwamba kapanga njama na wanae. SWALI: Approach gani effective itakayomfanya aheshimu wito at the same isimnyime...
  4. M

    Muokoeni mama yangu

    On second thought, given that the school is under his name and some of the properties too, can he sell them and if so how can we stop that from happening? And with the constant emotional torture akilewa na kumsumbua mother kwa mikwala, how can that be tamed?
  5. M

    Muokoeni mama yangu

    @ Bondpost, sina cha kukulipa ndugu yangu, from your post i have learnt alot, kikubwa kuondokana na hofu ya hatma ya jasho la mama. Labda niongeze kwamba kesho mungu akijalia nasafiri kwenda nyumbani kwani mama kanipigia kuniambia mdingi kaliwasha toka last week. I believe am going home like a...
  6. M

    Muokoeni mama yangu

    Ahsante kwa kufungua hii mail. Nimatumaini yangu utapata muda wa kunisikiliza na kuguswa kiasi cha kunishauri haraka iwezekanavyo kwani hali ni mbaya... Nalazimika kuanza kwa maelezo yafuatayo ili base of argument and the problem itself ieleweke. Sisi tumezaliwa watatu wote wakiwa ni wannaume...
Back
Top Bottom