Search results

  1. Ennie

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Zinavutia wanaojua thamani yake
  2. Ennie

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Bidii itakufikisha kwenye ndoto zako
  3. Ennie

    Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

    Kwa sababu wewe hazikusumbui haina maana hakuna zinayemsumbua. Hata vivazi vya wadada kuna ambao havitusumbui kabisa.
  4. Ennie

    Hasheem Thabeet yu wapi!?

    Amevuna alichopanda
  5. Ennie

    Kuna wadada wa kazi ni wachawi na mawakala wa nguvu za giza

    Dah! Unaweza usitafute msichana wa kazi tena!! Mungu atusaidie tu. Hizo sshuhuda zinatisha kwa kweli
  6. Ennie

    Under NACTE mbona hatuthaminiki

    Umepata approval ya chuo?
  7. Ennie

    Mambo yashaanza kunoga NACTE!

    Mdogo wangu nae ameandikiwa asubiri confirmation ya chuo,itatolewa na majina ya batch ya pili kutoka chuo yeye atajuaje confirmed?
  8. Ennie

    Najuta kuwa Admin wa group

    Na wewe ni mwanaume?
  9. Ennie

    Tigopesa ni kwanini mnatunyanyasa hivyo?

    Tatizo hilo si kwa wanaokosea tu,nilituma pesa kwa mtu msg akaipata lakini pesa haikuingia,akawapigia tigo wakamwambia imerudishwa kwa aliyeituma. Nimewapigia simu wananiambia itarudishwa kwangu,nimesubiri mpaka Nimechoka nikaenda kwenye ofc zao wakadai wamerudisha zitaingia baada ya 24...
  10. Ennie

    Hizi tabia zikome huku MMU haraka

    Watakuwa wamekoma!!!!
  11. Ennie

    Matumaini yakumpata mtoto yanapotea

    Umezaa na mtu,kwenye family nzima Unamjua yeye tu!!! Mtoto ameshapata Baba huyo. Ushauri: Ukipata bint mwingine mkapanga kuzaa bila ndoa basi at least ufahamike kwao naye afahamike kwenu maana Kuna leo na kesho. Huyo uliyezaa na nesi kama kwa simu imeshindikana kumpata Nenda mkoa anakofanyia...
  12. Ennie

    Jackline Wolper or Jackline Lowassa

    Mmhhh!!!!
  13. Ennie

    Tumepimwa, tuna UKIMWI lakini mwenzangu haachi 'kufungua zipu', napata mawazo ya kujiua

    Nilidhani ni wewe nikuulize ukijiua utazikwa na vidole vyake ili asifungue tena zipu?
  14. Ennie

    Pale msichana anapoacha kubadilisha profile pictures, Nini cha kutegemea?

    Mtoa mada anaishi 90's. Bint ambae maisha yake ni mitandaoni Hata aki conceive ata update picha ya kitumbo kila akitoka clinic. Wasioweka then waje waweke ya mtoto ni wale ambao bado wanaimani kuwa si vizuri kutambia uwepo wa mimba.
  15. Ennie

    Ina maana mabinti wa kitanzania mmefikia hatua hii au ni uhaba wa wanaume?

    Wa kushangaliwa hapa ni wewe wala si huyo bint. Ungemwambia humpendi wala asingefika huko alikofika. Mkiwa wote unajidai umekufa umeoza uko tayari kumuoa hata kesho tatizo wallet haioneshi ushirikiano. Bint anakusaidia ku solve Unamshangaa!!!
Back
Top Bottom