Search results

  1. N

    Majukumu ya jaji

    That seems to me reasonable even if my lawyer insists on his opinion! 😠 Just another doubt, I don't if it is valid only fo High Court or for any type of court. Thank you for your very kind help.
  2. N

    Majukumu ya jaji

    Lakini nilisoma kifungu fulani kinachosema kwamba korti lazima itoe hukumu kwa uwingi kwa hiyo kama wawili ni wingi zaidi na jaji.
  3. N

    Majukumu ya jaji

    Asante
  4. N

    Majukumu ya jaji

    Habari zenu? Mtu fulani alifungua kesi ya madai dhidi ya mtu mwingine. Mdai alishindwa kutoa ushahidi wowote ingawa mdaiwa aliwaita mashahidi watano (wawili kutoka serikalini). Mwishoni wasaidizi wa jaji walisema kwamba mdai hana haki yoyote, lakini jaji alisema kwamba ni kweli mdaiwa alinunua...
  5. N

    Usalama wa raia na mali zao

    Habari? Tarehe 10 Machi nimeibiwa yuro 2000 na mwanamke, Suzy, alijifanya mchumba wangu huko Unguja baada ya kugombana nami. Nilimshtaki katika kituo cha Ng'ambo, Unguja, ambapo anaishi. Aliitwa kituoni na amekuja na wanasheria wake na amejitetea kwa uongo tu. Mimi nina ushahidi wa wizi na...
  6. N

    Ofisi ya Ardhi inaweza kuzuia ujenzi?

    Hamna mtu anayeweza kutaja kipengele cha sheria ya ardhi? Hata hapa kila mmoja anasema yake bila kutaja sheria yenyewe na vipengele vyake!
  7. N

    Ofisi ya Ardhi inaweza kuzuia ujenzi?

    Ndugu Msherwampamba mimi na rafiki yangu hatujui kutembea na mikono. Tafadhali udondoe kipingele kipi cha sheria aliyovunja. Nakushukuru.
  8. N

    Ofisi ya Ardhi inaweza kuzuia ujenzi?

    Ndugu Ambra mimi ninashangaa kwa sababu inaonekana kwamba Tanzania haina sheria zozote. Kila mtu ana sheria yake. Kila mtu wa serikali anasema utakiwa kufanya hivi na hivi... na kulipa kiasi hiki. Hata malipo yanategemea na mtu si na sheria. hayupo hata mtu mmoja anayekuambia anafuata sheria gani!
  9. N

    Ofisi ya Ardhi inaweza kuzuia ujenzi?

    Alianza kujenga kwa sababu alimwambia kwamba ya ardhi alitakiwa kupata kibali cha halmashauri tu! Na kwamba wizara inashughulikia vipimo na hatimiliki tu! Sasa makosa ni ya nani? Asante sana.
  10. N

    Ofisi ya Ardhi inaweza kuzuia ujenzi?

    Habari? Rafiki yangu, Mtanzania, amenunua ardhi kule Zanzibar kwa kufuata mashauri yote ya sheha wa kijiji, alipata kibali cha kujenga kutoka halmashauri lakini watu wa ofisi ya ardhi hawajafika kupima ardhi hii kwa sababu wilayani walimchelewesha sana. Alipopata kibali cha kujenga alianza...
  11. N

    Mashindano ya kimataifa ya saba ya mchezo wa bao

    MASHINDANO YA KIMATAIFA YA SABA YA MCHEZO WA BAO ===================================== KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Saba ya Mchezo wa Bao Wanaruhuswa kushiriki mabingwa na wanafunzi. Chama cha Bao cha Kimataifa (KIBA) kinakualika...
  12. N

    Mashindano ya kimataifa ya saba ya mchezo wa bao

    MASHINDANO YA KIMATAIFA YA SABA YA MCHEZO WA BAO ===================================== KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Saba ya Mchezo wa Bao Wanaruhuswa kushiriki mabingwa na wanafunzi. Chama cha Bao cha Kimataifa (KIBA) kinakualika...
  13. N

    Download free JF application for Android

    Hamjambo. Ningependa kujua kama haiwezekana kutumia maneno ya Kiswahili badala ya: "devices", "operating system", "Tablet", "link", "kudownload" (!), "Application for Android", "kuinstall" (!), "kuaccess" (!), "smilies", "nkiscroll", "hairespond" (!), n.k. Kiswahili hakina maneno hayo...
  14. N

    Mashindano ya kimataifa ya sita ya mchezo wa bao

    NBG (Nederlands Baogenootschap) pamoja na KIBA (Klubo Internacia de Bao Amantoj) linaandaa Mashindano ya Kimataifa ya Sita ya Mchezo wa Bao Wanaruhuswa kushiriki mabingwa na wanafunzi. Chama cha Bao cha Uholanzi, NBG (Nederlands Baogenootschap), kinakualika kucheza Bao la Kiswahili katika nchi...
  15. N

    Nini asili ya jina Tanganyika na Nani alilitunga jina hili?

    Je, maelezo yafuatayo ni ukweli? MOHAMMED IQBAL DAR: Mbunifu wa jina Tanzania
  16. N

    nisaidieni maana ya neno hili hata kwa maana ya lugha ya kingereza

    Kama bado unatafuta maana ya "Kibalakala" (Kibarakala): "Barakala"=sycophant,flatterer,fawner
  17. N

    Shindano/Mashindano/Mchuano/Michuano

    Asante sana, ndetichia. Lugha zote huchanganya sana maneno mengi, yanayoitwa "visawe". Kwa hiyo "mchuano(mi)-shindano(ma)" ni visawe: "Michuano ya Olimpiki=Mashindano ya Olimpiki"?
  18. N

    Shindano-Mashindano-Mchuano-Michuano

    Tafadhali mnisaidie, someni hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/374425-shindano-mashindano-mchuano-michuano.html Asanteni sana, Nino
  19. N

    Shindano/Mashindano/Mchuano/Michuano

    Hamjambo. Tafadhali mnisaidie kueleza kwa ndani zaidi tofauti za matumizi ya maneno yafuatayo: Shindano/Mashindano - Mchuano/Michuano. 1) Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza (TUKI) inatafsiri: "Mchuano: competition, match" "Mashindano: 1 competition, contest" ("shindano" halimo)...
  20. N

    Mchezo wa Bao. Msambaze mchezo huu wa jadi la Afrika Mashariki!

    Tawi la Uswisi la KIBA linafurahi sana kutangaza kwamba Mashindano ya Kimataifa ya Tano ya Mchezo wa Bao yatafanyiwa mjini La Tour de Peilz (Uswisi) kuanzia Novemba 10 hadi Novemba 11, 2012 (taz: Mashindano ya Bao 2012). Kujiandikisha si lazima, lakini kungetusaidia sana kuandaa mahali pa...
Back
Top Bottom