Search results

  1. U

    Chuo Kikuu Cha UDOM na UCHAFU YA MLACHA

    Mbona umechemka rafiki yangu? Lugha yenyewe ulotumia ni kichefuchefu kitupu!! Halafu inaonesha huna data za kutosha kuhusu UDOM. Wewe kwa namna ulivyo frame message yako inaonesha wala hutoki jumuia ya UDOM (i mean sio mwalimu, mfanyakazi mwendeshaji wala mwanafunzi). Na km unatoka UDOM hufai...
  2. U

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Wewe unaejiita mamkwe. Tunakujua kuwa ww ni kibaraka wa wakubwa. Na ukiendelea kukataa nitakutaja kwa jina humu forum. Najua upo college gani na unafundisha masomo gani. Wakati wenzio wapo Chimwaga kupigania maslahi yao ww ulikuwa ukiendelea na kufundisha (Informatics). Unaona unavyojisahau na...
Back
Top Bottom