Search results

  1. binjo

    Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Watu mnavyohusudu mambo ya udini kwa kisingizio cha kumshangaa yule Muha MAKAFISHIANO YA DINI YANAWALIPA KIASI? Hata uwape hoja nzur hawa vichwa vilivyojaa udin vitakujibu kifup tu (atakayeilaan israel naye amelaaniwa) ndo wamemaliza hvyo wakat wewe unazungumzia masihara ya taifa.
  2. binjo

    Kumfunga dawa/hirizi mtoto mchanga ni sahihi?

    Kwa kuwa umezungumza kulingana uzoefu wa maisha ya kwenu na jamii yako uko sahihi kwetu siye chale ni urembo.
  3. binjo

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Habari nina nokia hapa 1248 maarufu kama obama haikubali kuwaka wakuu point on/off p- inasoma 577 na p+ inasoma 596 msaada kimawazo na nina huawei y330-u11 inawaka na kujizima yenyewe.
  4. binjo

    Bukoba: Mahakama yamhukumu miaka 60 jela Ustadh Amoud kwa ubakaji na kulawiti mtoto aliyekuwa akimfundisha elimu ya dini

    Mara mapadri mara wachungaji mara masheikh mara wajomba mara mababu mara walimu mara baba wa kufikia yaani tuombe Mungu Maana Haya makinda yetu hayapo salama.
  5. binjo

    Ushauri: Ndoa yangu ina miaka 7, nimegundua mume wangu alinificha ana mtoto wa miaka 8

    Hapo Ishu Kubwa Ugonjwa Tu Kwan Mtoto Mnashea Kumtafutia Mahitaj? ila pole sana mana siku hz wadada mioyo yenu ina ukakas usio na mizan kusikia tu mwanamke mwenzio kahenyeka na mimba yake kajifungua katulia tuli nalo tatizo sijui akija kumbwagia mumeo mtoto itakuwaje.
  6. binjo

    Ripoti mali za CCM: Mwakyembe, Bulembo, Shaka (UVCCM), Sixtus Mapunda, Makatibu 11 wa Mikoa hawachomoki

    Hii Tabia Vyama Vyote Vya Siasa Tz Vinaonyesha Vinayo Tena Vyama Vingine Ukionekana Kuhoji Hawakawii Kukuita Msaliti Sijui Lini Itaisha.
  7. binjo

    Kuhudhuria misiba kunavyowatia umasikini Watanzania

    Asante kwa kunisasahisha mkuu Roho Za Namna Hii Sijui Zinatoka Wapi?
  8. binjo

    Mbowe: Bunge wanafiki wangekuwa wanatupenda wangemtibu sana, ila zaidi wanatutesa

    Tabia ya wanasiasa kung'ang'ania maiti au kutafuta maneno maneno pale marehemu anapokuwa hajazikwa badala ya kumuombea kheri sijui itaishia lini. Hata kama wao wapinzan wenu wamefanya tofauti na utaratibu wenu kuna ubaya gani kuwafuata na kuwaonya au kufanya mashauriano? Kusemea katika media...
  9. binjo

    Mother house punguza vibomu

    Hata Kama Bado Ebu Mshawishi Vinginevyo Hatakoma
  10. binjo

    Kuhudhuria misiba kunavyowatia umasikini Watanzania

    Usomi Muda Mwingine Ni Ujinga
  11. binjo

    Mother house punguza vibomu

    Nae Amejiunga Jf?
  12. binjo

    Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

    Kuna Vingine Huwa Vinakubali Inategemea Kioo Kiliaribikaje Ila Masharti Uunge Kwanza Kioo Ndipo Upige Na Moto Wa Kwa Mbali
  13. binjo

    Kauli mbiu "hakuna kuachika, haachiki mtu"

    Hiv Kuvurugwa Ni Kitu Gan?
  14. binjo

    Umezuka ugonjwa unaoshambulia mimea ya mahindi

    Baada ya kukoka kuni yanabaki majivu. Miaka yote nalima shamba na wazee wangu nawaona wanaweka majivu kwisha habari. Hata hivyo naamini wale wakulima wakubwa wanajua dawa yake. Hii ni uzoefu wangu wa kienyeji. KARIBU MBEYA.
  15. binjo

    Kubenea: Lowassa ameonesha njia

    Babu bana "Liability au Asset"?
  16. binjo

    Umezuka ugonjwa unaoshambulia mimea ya mahindi

    Wa loooooong time Mkuu. Sema ni vile unachukuliwa poa poa Siye huwa tunaweka majivu tu.
  17. binjo

    Umezuka ugonjwa unaoshambulia mimea ya mahindi

    Nilidhani ugonjwa mpya!! Mkuu bana
  18. binjo

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Buhaaaaaàah hah hah hah. Mkuu una mkwara mbayaaaa.
  19. binjo

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Hah hah hah hah DeepWeb
  20. binjo

    Gharama za kuanzisha Mradi wa kutengeneza tofali (concrete block)

    Na wazoefu wa biashara ya tofali za kuchoma mje hapa hapa.
Back
Top Bottom