Search results

  1. amanzi30

    Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    Dah nimecheka sanaa...eti kamkia
  2. amanzi30

    Kwa wale wajuzi wa mambo ya Dini, andika jina la Mtume na nchi aliyozaliwa

    No.. mitume ni ishirini na tano na muhammad ndio wa mwisho...ila manabii ndio wengi...na katika mitume hao ishirini na tano wapo pia wenye sifa ya unabii na utume kwa wakati mmoja.
  3. amanzi30

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Duh hatari sana....vita ya tatu ya dunia yaja hiyo
  4. amanzi30

    NECTA yatangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 3.78

    Well said...sasa mtu ukiongea ukweli utaonekana ni tatizo na kama upo kwenye system wanakutema kabisa...siasaaa...twende tu
  5. amanzi30

    Huyu Chura wa aina gani?

    Mh kimbofa ni mwekundu mwili wote hana rangi nyingine
  6. amanzi30

    Kwanini Mabenki hayarudishi pesa wanazokata kama " Bima ya mkopo pindi deni la mhusika linapoisha

    Mh kwani hiyo bima ni dhamana?..na je dhamana unatoa wewe mkopaji au benki?..kama unatoa wewe mbona bima imejumlishwa kwenye mkopo means hutoi wewe direct mfukoni mwako kama ilivyo hati ya nyumba....so kiutaratibu hairudishwi ila iliwekwa kumlinda mkopaji incase umetangulia mbele ya haki au...
  7. amanzi30

    Plate namba za magari zinavyokimbia hivi ni kweli vyuma vimekaza ?

    Kweli kabisaa....jamaa kavita ndinga tunaoneshwa.....njoo tukuagizie gari wameshafanya yao...hongera mkuu
  8. amanzi30

    Wana JF, niko njia panda juu ya mdada huyu

    Ni stori flani hivi tamu ya mapenzi.....kitabu gani hicho?
  9. amanzi30

    USHAURI KATI YA GARI HIZI ZA OFF ROAD (LADA NIVA,ISUZU TROPPER,DAIHATSU ROCKY)

    Isuzu troopper mashine ya kazi tena upate ya diesel ni hatari
  10. amanzi30

    Je, wengi hawapendezwi na gari aina ya Toyota Vista?

    Dah umetaja platz uadi nimechefuka Sent using Jamii Forums mobile app
  11. amanzi30

    Nimechoka kuwa kwenye mahusiano na yeye nifanye nini ili anielewe

    Dah inauma sana..sasa kwann uliamua kuwa nae before ilhali ulijua kama huna future nae..asume ndo wewe sasaa inatakiwa uachwe then umekolea
  12. amanzi30

    Huu ujumbe usomwe na wanaume tuu

    Hii safi sanaa
  13. amanzi30

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni kweli kabisa wanaboa sanaaaa...then kuna ubaguzi mkubwa sanaa hususani kwa tuliokuwa pembeni mwa nchi...jamanii wamwambie mkurugenzi wao na sisi huku tunahitaji huduma hiyo kama sehemu zingine...mbona idara ya maji wako vizuri sanaaa hata kama vifaa vimekwisha haichukui muda mrefu vinaagizwa...
Back
Top Bottom