Search results

  1. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Nikajua ni kuzuri na kila kitu kipo na hospitali madaktari ni wengi kuliko wagonjwa!
  2. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Kama wewe ni mwana-nzega ndilo mlilomtuma !
  3. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Ni kikosi kazi kimesukwa kwa kazi hiuyo ili mpaka 2025 fomu itolewe moja na waseme bila mama tusingekuwa hai.
  4. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Wengi wao hawajui majukumu ya mbunge! Hujaona zaidi ya 3/4 ya wabunge wapo kuitetea serikali badala kuihoji na kuiwajibisha?
  5. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Wana mkakati mahsusi kuua legasi ya JIWE.
  6. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Dokta tena kasomea muhimbili, aloo! Tunaweza pata wasomi wa kutungua makombora 300 wakaajiriwa USA kama ma dokta wenyewe ndio hawa?
  7. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Wamepata nyumba za tembe[udongo], wamepata barabara za udongo, watoto wanasoma shule za kata bure, watoto wamefutiwa NHIF . Takwimu ya 2020 ilionyesha ya kwamba chini ya nusu ya wakazi walikuwa na maji safi. Sehemu kubwa ni kutoka visima na wakati wa ukame maji huwa haba. Kuna hatari kubwa ya...
  8. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Mama labda ampe ukuu wa. Mkoa Arusha maana DAB hana siku nyingi pale chugga.
  9. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    Wana historia ya kuwa vibaraka wa Waarabu, Kigwangala anatekeleza waliyofanya Babu zake.
  10. Jaji Mfawidhi

    Kigwangalla asema nzega hawana hitaji lolote isipokuwa kumshukuru Rais Samia #NasimamaNaMama

    “Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amewataka Watanzania wote popote walipo kutumia hashtag ya ‘Nasimama na Mama’...
  11. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Makonda ndiye alikataa kupangiwa Ziara, alitaka kuambatana na mabosi zake na ripoti ya ziara badala ya kumpa katibu mkuu alikuwa anataka kuwasilisha kwa Mama kwa kigezo yeye ni mtoto wa Mama. Alikuwa anjijenga yeye binafsi badala ya chama, hata huko Arusha ni one man show akitaka kuonekana...
  12. Jaji Mfawidhi

    Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    Kukamata na kukana kukamata, baada ya wiki "yupo kituo cha Polisi anahojiwa"
  13. Jaji Mfawidhi

    Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Liwali lazma atembelee gari zuri, ndio ufahari wa kusoma na kuwa na cheo. Cheo siyo utumwa, ni starehe!
  14. Jaji Mfawidhi

    Je, unaweza kuajiri CEO na Wakurugenzi toka mashirika haya?

    DODOMA: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amefanya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2022-23 na kuorodhesha mashirika 99 ambayo yanadaiwa zaidi ya Sh trilioni 3.49. Je, kama Mtu ni mkurugenzi kwenye hili shirika, amekaa hapo miaka 10 na...
  15. Jaji Mfawidhi

    CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

    Yanga itaingia kwa Mgongo wa Simba, sababu kuu ni Kupata Mashabiki ambao ni base kubwa kwa Simba.
  16. Jaji Mfawidhi

    Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Shosti unapuyanga , Katiba ipi inazungumza kuhusu magari ni ibara ipi? Nimekaa mahakamani miaka 25 katiba ipo kwenye finger tips, Sijawahi kusoma hiyo.
Back
Top Bottom