Search results

  1. LEWANGANGUMU

    Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Na mm ni shuhuda wa mwamba mmoja kupata POSITION ya MECHANICAL TECHNICIAN Kwa njia ya panya Employee alikuwa TEMESA
  2. LEWANGANGUMU

    Msaada wa 'written interview' uhamiaji.

    Mujibu wa sheria walikaziwa kabisa Mm jmos nilikuja huku nikiwa najiamini kbx na Bachelor degree yng ya MECHANICAL ENGINEERING Inayosindikizwa na NATIONAL SERVICE CERTIFICATE mujibu wa sheria lkn kumbe hawatutaki kbx sisi mujibu wa sheria na Tena mm nmepiga OP Ya zamani sana OPERATION MIAKA...
  3. LEWANGANGUMU

    Mustakabali wa IPP Media baada ya Reginald Mengi kutuaga

    Jamaa atakuwa bado Ana yale mawazo ya babu zetu ya kutoamini watoto wakike haliyakuwa watoto wa kike ni watoto makini sana na wana uchungu sana na mali ZA wazazi wao.
  4. LEWANGANGUMU

    Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

    Thanx Ntalifanyia kaz hili swala
  5. LEWANGANGUMU

    Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

    Mm nahitaji kutengeneza mashine ya kupanda mahindi shambani kwa kutumia nishati ya jua kama source Solar powered maize planter Je nnatamiwa ntumie panel ya ukubwa gan labda ili niweze ku operate hyo machine yangu Hata kwa kupanda shamba la heka kwa siku
  6. LEWANGANGUMU

    Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Glory to God God iz Good
  7. LEWANGANGUMU

    Kwanini Mkuu wa Majeshi hapewi heshima?

    Hapa alikua anafanya comparisson kati ya General,major general, Haswa hivi vyeo sana sana ndo CDF Anakua ashavifikia Na akifananisha na nchi nyingi zilizowahi kufanikisha mapinduz yakijeshi mara nyingi anayeshika nafasi ya Urais sio CDF Mara nyingi Wanashikilia Uongozi wa Uraisi kwa muda huo...
  8. LEWANGANGUMU

    Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

    Kwenye standard ya maisha kati ya ww na yeye mmeachana kwa ratio kubwa hivoo 4:1?
  9. LEWANGANGUMU

    Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

    Mm nilimwambia Utanikumbukaa
  10. LEWANGANGUMU

    Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

    Alijua kabahatisha siti ya mbele Kumbe kakalia siti ya dereva Kwann asirudi kwenye Buti?
  11. LEWANGANGUMU

    Amefungua jf

    Ulipo Tupo
  12. LEWANGANGUMU

    Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

    Nlitoka apo 2013 Msalimie LUGUNDU Ni mm mteule wa kachaa as well as known KANALI
  13. LEWANGANGUMU

    Kuna ukweli wowote hapa kwamba.......

    Huyu ndo mchokozi haswaa
  14. LEWANGANGUMU

    Mkuu The Bold, tuandalie Makala kuhusu Mhe. Andrew Chenge!

    Je bado hujawahi bahatika kuandika makala za mtu binafs au kampuni Kwa dhumuni la kibiashara?
  15. LEWANGANGUMU

    Kuwa na mwanamke askari ni shida

    Huyu ni mojawapo wa madaktari nguli na ma phylosophy wachache tulionao hapa Tz My take Tuwalinde na kuwadhamini
Back
Top Bottom