Search results

  1. K

    Nnaiuza au Kuikodisha kwa Mwenye kuitaka Bajaj Boxer BM 150

    Uza na tangaza bei haraka ni ushauri tu, unachagua lipi, kumsababishia mwezio kifo na wewe kupoteza pikipiki yako??
  2. K

    Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

    FOR SURE WatAMUUA, KWA MAELEZO HAYO HAWAHITAJI KUTAJIWA JINA WAMESHA MFAHAMU OGOPA TECHNOLOGY WEWE!!! NASHAURI AELEZE WAZI NA KAMA HAWEZI AENDE NJE YA NCHI KWA MDA HATA MIEZI 8 HADI KUMI. AU AELEZE WAZI KAMA WATAMKORIMBA OK, MUNGU ATAMPOKEA.
  3. K

    Ushuhuda: Namna CCM inavyofanya ugaidi nchini

    Na mimi ni shahidi kuna kijana aliwahi chukuliwa kwetu na akasomeshwa isivyojulikana, japo uwezo wake kimasomo ulikuwa kidogo sana alisota kijijini baada ya kumaliza elimu ya msingi kama miaka 5, ndipo wakamchukua na sielewi walimchuaje by 1999-2003. By juzi kati amekutwa yuko lumumba na...
  4. K

    Barua ya Shukrani toka kwa CHADEMA kwa Wananchi kufanikisha USHINDI kata ya IYELA na kufuta DENI

    Hiyo tarehe hatujaifikia rekebisha ikae kiprofesional sio kukurupuka tar 16/09/2013 hatuja fika
  5. K

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    Sisihem wanajitahidi kutengeneza matukio ya kutisha wananchi, pia wanajitahidi kutengeneza kesi kana kwamba chadema ndio wanafanya matukio hayo ya kigaidi. chadema wanajitahidi kuonyesha kwamba wao hawahusiki bali sisihem. wote wameishiwa sera, lakini tutakimbilia wapi?????????????? Cuf...
  6. K

    Mbowe: Mabomu yamerushwa na Polisi kwa maagizo ya Serikali

    nakupongeza sana majibu yako yametulia sio kama vijana wengi wanavyotoa michango hapa JF, shida ni vyeo vidogovidogo kama ukuu wa wilaya nk.
  7. K

    Navunja ndoa ya mtu!!!!

    naunga mkono sana alichosema snow lakini niongezee kidogo nahisi unaweza ukawa hujaoa, watu/vijana wengi hushindwa kujua mipaka ya kuhusiana na waume/wake za watu. kiukweli huyu mume kafanya maamuzi ya haraka na magumu ila, huwezi jua kama huyu jamaa alikuchunguza kwa urefu gani?? maana kuna...
  8. K

    Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

    kama unahakika si udhaifu wa kibinadamu, ambao hata wewe usingewezafanya basi tengua huo uchumba. lakini upande wa pili unaweza mwacha halafu usijepata wa kuolewa nae, yamkini umempata kijana mwingine kakudanganya au unadhani ni bora kuliko huyo. sasa na huyo akikuacha utakosa vyote na...
  9. K

    Kesi ya mbagala yafutwa

    MUNGU ATAWAHUKUMU, Wako huru kwa sheria ya dunia, lakini wapo kifungo cha milele kwa MUNGU.
  10. K

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Wewe ndio unafikra za kidini na ujimbo. Yamkini na wewe ni ndugu wa wavaa vipedo maana hawakosi kulalama udini tu kila kukicha. Kila mtu hapa ananafasi yake juu ya siasa ya CDM, maana huwezi sema ZZK ni zaidi ya Mnyika, au Msigwa Mchg au NAssari, Au Mdee, au Dr. Slaaa au Mbowe nakadhalika...
  11. K

    Wapo wapi waliotubeza kwa kusupport Wazee wa CHADEMA kumweka kamanda Mbowe(Haswa Mtei)

    mwenye akili timamu hahitaji maelezo juu ya JK kuweka waislamu wengi kwenye tume katiba, maana tunajua lengo la lake ninini??
  12. K

    Tulijadili hili ....

    kama huna uwezo huwezi fikiri kusafirisha familia, pia umejenga kwenu au lilelile banda la makutu ulimo zaliwa??? home is best
  13. K

    Nimependa changudoa

    sitaki kutoa povu wala mate, Hakika wewe nawe ni CHANGUBABA, NADHANI JINA HILO LITAKUFAA. Kuoa si kujaribu kama unavyojaribu kiatu kama kinatosha, maana kisipotosha unabadilisha. lakini kuoa ni kuungana ktk mwili na roho pia, kama utabahatika kuoa huyo CD ukawa na future nzuri nakushauri...
  14. K

    TRUE STORY...msinirushie mawe

    ahsante Kinga'sti hahahaaaa, na mimi nasistiza Vivyo hivyo ulivyotenda na ndio mkeo atakutenda pia we subiri utakuja tu hapa JF ukitoa mapovu. kama Mungu anavyosema mu mwili mmoja si wawili tena, ndio maana kajua wewe hata ujitahidi kuwa mkali lakini yeye amejua tayari kwamba umeanguka.
  15. K

    CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    wewe unajadili mwenzako wewe umesoma, kama umesoma unashindwaje kufanya hesabu(1988-1991=4) ya hiyo miaka kwenye CV. elimu yako haijakukomboa pole
  16. K

    Natafuta simu ya fasta ya kununua!!

    jaribu ubungo maeneo ya stand ya mkoa hadi mataa utampata
  17. K

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    hayo yote hayakusaidii mwisho wa siku, hata nikiweka sanamu ndani yanyumba yangu inakuhusu nini wewwe kafiri mkubwa, na dini yenu ya kuoa kila unapotaka, imani gani inayoitolea povu wewe ------ aliposa binti wa miaka 6 alipofika miaka 9 akamuoa au alibaka mtoto!!! tena baada ya kuchoka kwa yule...
  18. K

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    {upo sahihi,hawa makafiri wasidhani tutakuwa kimya wakati tunadhulumiwa,maandamano ni salamu tu,wasubiri jihad kama watapatikana kuandika upuuzi wao humu.makafiri siwapendi kabisa.} kama wewe unavyosema wakristo makafili, naam ndivyo hata sisi tunasema waislam makafiri tena watoto wa mama...
  19. K

    TAHADHARI!! Kwa Wenye Mpango Na Mnaotaka Kwenda Kufanya Kazi Za Ndani Uarabuni! Haya Yanatokea Sana!

    ) Sishangai..! Kama wanaume mnaomba kuingiza nyuma kwa wake zenu. Ati uzazi wa mpango utakosaje kuomba sehemu ya mavi kwa mwanaume mwenzio.???wote sehemu yenu ni moja inaitwa ziwa la moto. Siku yaja
Back
Top Bottom