Search results

  1. M

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    mimi nadhani hii imechochewa pia na hisia zake kama za akina malaria sugu na faizafoxy!
  2. M

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    ccm wanatapatapa! kamanda Lema kawashika pabaya!
  3. M

    Kenyan minister, MP deny knowingly funding Somalia`s Al-Shabab

    Cabinet minister Najib Balala and nominated MP Amina Abdalla on Friday reacted to a United Nations report naming them among Kenyans whose donations had been funnelled to the Somali terrorist group Al Shabab. Mr Balala denied knowingly funding the activities of the terrorist group but...
  4. M

    Tamko la Kamati Kuu ya CCM; Muda waongezwa kujivua gamba

    full kudata! nasikia na kale ka ugonjwa ka kisasa huwa kanaathiri uwezo wa kufikiria!
  5. M

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    wandugu leo nimehoka!yaani hata kupata idadi ya waliohudhuria napo ni utata tu !
  6. M

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    TAARIFA...! yule dada au darasa zima la madrassa? Faizafoxy ni ID ya genge fulani...ndiyo maana kama ukichunguza utaona hakuna consistency katika utoaji hoja wake...! kuna siku unaona kama akili yake imepata akili kidogo..akajenga hoja zenye urojo mzito kidogo... mara kuna siku kimombo...
  7. M

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    hiyo id nyingine wala haitanoga...! niulize mimi niliye kwenye ban....hii id ya pili ni kama vile nimepoteza identity!
  8. M

    Viongozi wakerwa na mwenendo wa Bunge

    MWANASIASA mkongwe nchini, Idd Simba, amekitabiria kifo Chama cha Mapinduzi (CCM) endapo hakitachukua hatua za haraka kudhibiti makundi yaliyo ndani yake ambayo mengi yanatokana na baadhi wanachama kuanza mapema mbio za kukimbilia Ikulu wakitaka urais. Idd Simba, mwenyekiti wa baraza la...
  9. M

    Kamati kuu ya CCM trh 30.7.2011

    duh ..jamaaa kweli wamewadhibiti....yaani hakuna hata ka habari kadogo reliable kalikovuja?
  10. M

    Kikwete apokelewa kwa mabango na bendera za upinzani!

    leo nimecheka sana....kwenye kipindi cha redio asubuhi ,Zembwela alikuwa anasoma message za wasilikilizaji...mdau mmoja aliandika hivi...... kweli ufisadi umetumaliza..ni bora huyu anayetuongoza angetangualia mbele ya ..... ! zembwela akaipotezea huku mtangazaji mwenzake akiwa anachekacheka! Ni...
  11. M

    BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

    hakuna aliyesema ccm imekufa...ila ipo kwenye process ya kufa na itakufa tu.....ni suala la muda tu!
  12. M

    MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

    kaka upo wapi? sisi huku mbezi beach tumepata upendeleo maalum...leo ni siku ya tatu umeme haukatiki..yaani ni masaa 24 tunakula bataz!
  13. M

    MDAHALO: Tundu Lissu vs Job Ndugai kama ilivyoonyeshwa na Star TV

    hakuna haja! wadau wataona tu nani ni nyambaf!
  14. M

    BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

    yap ingekuwa vizuri kama ingeanzishwa thread yenye dondoo ya vitu vyote vilivyosemwa .!
  15. M

    BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

    wala usitutoe kwenye hoja ukatupeleka kwenye mambo yenu ya udini! unamkumbuka ustaadhi ayeumbuka na chuo chake cha ccm cha kiislam morogoro just a few hours ago? baki kwenye mada ...uchafu mwingine peleka kwenye jukwaa la dini!
  16. M

    BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

    nadhani ulimsikiliza vizuri yule mzee kwenye mdahalo!! Kama bwana yenu Kikwete ni mtu wa 'good morning sir'... tutategemea nini kwa nyinyi watwana wake!! bwana wenu anaona kuwa na foleni ndefu na ku own blackberry ni maendeleo ..tutategemea mtazamo gani kwa nyinyi watwana wake....! funguka...
  17. M

    Makala hii katika The African ya leo ni kiboko

    nimeipenda sana hii makala.... ahaha naona JK kwa hilo anaonekana ana ka u small thinker kidogo....maana kwenye metamorphosis kuna kujivua gamba vilevile..!
  18. M

    BABU: Sitakufa kabla ya CCM kufa!

    na mambo yake ya kinyonga na nge....mzee comedy za ukweli anaziweza pia! mwenyekiti alinifurahisha kwa kumpa upendeleo maalum wa muda!
  19. M

    Wabunge Kupimwa Akili - Nani Awe wa Kwanza Kupimwa Akili?

    swali dogo kwako....tafadhali jibu kwa hoja naomba sababu za Lema kupimwa akili!!
Back
Top Bottom