Search results

  1. P

    Mh. Celina Kombani AMCHANA Lissu Bungeni

    By sirlimu ibwe leo waziri wa sheria selina combani kamchana mh. Tundu lisu wazir kivuli wa sheria , msemaji wa kambi ya upinzani anadai: 1. Lissu ametumia lugha ya uchochezi ktk hotuba yake. kamchochea nani? 2. hajaptia hotuba ya wzara kabla ya kuandaa ya kwake-haihitaji kupitia hotuba ya...
  2. P

    Baada ya Rostam nani anafuata?

    Anafwata mzee wa vijisenti
  3. P

    Ripoti: Uchumi unakua, umasikini unaongezeka

    Tatizo lingine ni kwamba viongozi wetu wanaangalia maslahi binafsi zaidi kuliko ya nchi...
  4. P

    Watanzania Wameanza kumuelewa Dr Slaa na Siasa za Kukurupuka

    Watu wengine kama hamna cha kuongea naomba muwe mnanyamaza...sasa thread kama hii ina manufaa kweli? Badala ya kuongelea mambo yaliyo na tija kwa nchi yetu unaongea pumba...Nonsense!
  5. P

    Top Five companies to work for in Tanzania apart from the UN

    Barrick gold company ltd is the best company to work for because it's found worldwide,has the best salaries,safety of the workers is their priority and has one of the best equipments which makes the work easier etc...
  6. P

    Ni bora CHADEMA ifutwe

    Chadema ikifutwa,ukombozi wa tz utachelewa..!
  7. P

    Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

    Jeykeywaukweli...hata jina lako linaonyesha una akili vizuri...kumbe hata jf kuna watu wanaongeaga pumba kama wewe?...
  8. P

    TAMKO LA UVCCM na Mwelekeo wa Kisiasa Nchini

    Sioni the difference between UVCCM and CCM wote lenu ni moja so UVCCM isijifanye iko tofauti.ukweli watanzania tunaujua,ccm wameshindwa pa kutokea wameona watumie uvccm kujisafisha...subirini 2015 mtafulia zaidi ya 2010...
  9. P

    Makinda aanza kazi aliyotumwa

    Makinda atatetea sana ccm lakini ukweli watanzania tumeisha ujua,hatudanganywi tena....! Uongo una mwisho.
  10. P

    moto mkubwa UDOM{COED}

    We mtumpole ndo ujui kitu ni bora unyamaze...! nenda college of education kule udom alafu ujue kama mgomo ni wa wanafunzi au lecturers...kwa hali ilivyo,hata lecturers wakitatua matatizo yao,bado mgomo uko pale pale kutokana na matatizo yaliopo kwa wanafunzi...
  11. P

    Shame upon you Chadema - Mhariri wa gazeti la serikali huyo

    kweli mpuuzi ni mpuuzi tu......ivi uonei huruma hata ndugu wa marehemu kwa kejeli zako hizo zisizo na msingi?
  12. P

    Tanzania

    First of all,i would like 2 thank jamii forums administrators for initiating a wonderful website where we can critically express our views...my concern is the political atmosphere that we have in tanzania now. The country is full of strikes everywhere, bt my question is that who is the one to...
Back
Top Bottom