Search results

  1. J

    Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Huyu mwanamke ni hatari kuliko bomu la nyuklia. Eh Baba tuonee huruma Mungu, huyu mwanamke uliyenipa kutoka ubavuni mwangu wa kushoto amevunja na mbavu za kulia sasa moyo, maini, mapafu na utumbo vyote viko nje naomba utufunike kwa damu yako.
  2. J

    Kiongozi wa Mabohora duniani amkubali Magufuli

    Nampa tu ushauri Magufuli haingiliki wasije poteza pesa zao wakifikiri wakija Tanzania wanaweza pewa kiki
  3. J

    Sina furaha, ninatamani kurudi kwa wazazi wangu

    Pole mkuu, Kumbuka mke wa kakako amekujua kupitia kwa kakako yeye na ndugu zake huna undugu naye. Ili ufanikiwe katika maisha yako ni lazima umtumikie huyu mama, thats the best and the easiest way, however, its not the only way. Jamii ya Watanzania walioko makazini sasa hivi wengi wamepitia...
  4. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Historia halisi ya Viongozi wa Kwanza Africa haikuandikwa kwa ukweli wake. Nkurumah alikuwa na maono mazuri sana kuhusu Ghana na Africa kwa ujumla. Kama alivyosema Martin Luther, ukitaka kujua Character halisi za Kiongozi, mpe madaraka. Huu ndio ugonjwa wa Viongozi wetu wa Kiafrika, Madaraka...
  5. J

    Dunia inajua mlima Kilimanjaro upo Kenya

    You must be Mentally blind what does this paragraph means "JOHANNESBURG (AP) -- A South African trying to summit Kenya's Mount Kilimanjaro to mark Mandela Day has died." the only thing you did right in ur post is to symphathize with the deceased's family and friends. If I were Cara, i would...
  6. J

    Looking for gentleman

    She is looking for Gentlemen sio Gentleman, mwambie Boss muende wote ili masharti vigezo vikamilike
  7. J

    Dunia inajua mlima Kilimanjaro upo Kenya

    Huyu Mkenya sijui anataka nini, yaani anapotosha kwa makusudi kabisa, Waziri wa Utalii inabidi aandikie barua Associated Press. Kama hawezi mwambie anipe barua yenye letterhead ya Wizara mimi nitaandika
  8. J

    Dunia inajua mlima Kilimanjaro upo Kenya

    News from The Associated Press
  9. J

    Baton Rouge: 'Three US police officers shot'

    Kusema Jijini Louisiana ni sawa na kusema Jijini Kilimanjaro. Louisiana ni State, lakini ndani ya State hakuna specific location panaitwa Louisiana. Haya Mauaji ya Polisi yametokea katika mji mkuu (Capital City) wa State ya Louisiana- Baton Rouge kama kilometa 100 kutoka Jijini New Orleans...
  10. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Washauri wa Ikulu sio wakweli kwa Marais wengi, especially kwenye nchi za kiafrika, it takes 5 years to implement a change, another 5 years to realize a change, another 5 years to to see the fruits of a change. With only 10 yrs limit in the office, i wouldnt try to change everything if I were a...
  11. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Ebwanae, u nailed it. Nilipotoa huu uzi nilitaka tuangalie utendaji wa Rais na kama utendaji huu unamnufaisha mwananchi wa kawaida kivipi. Madikteta wengi duniani, wanapendwa sana na wananchi wao, na marais wengi hawapendwi na wananchi wao kwasababu wan muda mfupi kubadilisha kila kitu...
  12. J

    Mawaziri wawili wa Rais Magufuli watajwa vyeti bandia

    Mtu aliechukua Mkopo kwa jina marehemu na kwenda chuo kikuu na aliyechukua jina mwanafunzi aliyeacha shule darasa la tano wote wezi tu
  13. J

    Mwanamke kukuweka sero anastahili kusamehewa?

    Ni scanie vyeti vyako nione kiswahili ulipata ngapi ndo tuendelee kujadiliana, scan vya form four tu vingine sihitaji
  14. J

    Mwanamke kukuweka sero anastahili kusamehewa?

    Ndoa si kwa kila mtu, kwako ili kukidhi maneno yako ni bora uwe single for life lakini mwanamme alizaliwa na mwanamke hawezi kushindwa kugusa mwili wa mama yake either kwa mapenzi au ushenzi
  15. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Uko sawa kabisa Rais anahitaji maombi, ila lengo langu lilikuwa kutaka kuangalia utendaji wa
  16. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Hapana, Wewe umeenda kusiko kabisa bora ungebaki kimya kama jirani yako hapo. Huu ni Uchambuzi sio utabiri. Tunatumia Historia kuturudisha kwenye mstari tunapokuwa nje ya mstari, na pia tunatumia historia kuepusha visivyo hitajika. Rudi kwenye mstari najua ni ngumu ndo umetoka kwenye futari...
  17. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Ebwanae! Rais wetu anahitaji maombi ya hali ya Juu, ukisoma historia ya Dr. Nkwame Amah Nkuruma na Thomas Isidore Noel Sankara utagundua kuongoza waafrika ni ngumu sana. Sankara ndio Magufuli kila kitu lakini huko mzee ukitaka kwenda mimi sina M7 kwahiyo turudi huku kwa Nkurumah kuna nafuu
  18. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Rip Nkurumah, we love u in Tanzania than in ur homeland Ghana because Mwalimu wa secondary only told us great about u.
  19. J

    Maoni: Rais Dr. John Pombe Magufuli amefanana kiuongozi na Dr. Nkwame Nkurumah

    Kitu ambacho nikegundua historia ya mashuleni Tanzania, haikusema Dr. Nkurumah aliishiaje kwenye Uongozi wake, hawa watu ni watu wanaoheshimika sana Tanzania kwa mujibu wa Vitabu vyetu vya History, lakini ukweli ni kwamba heshima tunayompa Dr. Nkurumah ni kubwa kuliko anayopewa na ndugu zake...
Back
Top Bottom