Search results

  1. mwanamara

    Cannavaro astaafu rasmi timu ya Taifa, Kujikita na Yanga

    Kama kwa mtazamo wake anaona ni muafaka kupumzika bila shaka yuko sahihi ukizingatia umri nao unamtupa mkono na ni muendelezo wa utamaduni mzuri kwa wanamichezo kuachia ngazi pale ambapo umetumikia timu kwa muda bila mafanikio. Sababu zingine alizotoa zilizompelekea kufikia huo uamuzi zinatia...
  2. mwanamara

    CHADEMA, Tunataka Moshi liwe JIJI

    We fisadi kwahiyo wakurya wakirudisha hiyo gari kwanza ndio Moshi itakuwa jiji na wasiporudisha Moshi haitakuwa jiji?
  3. mwanamara

    Azam Tv hamtendi haki katika kuonesha mpira

    Hizo lawama tu! Tanzania kuna tatizo la uhaba mkubwa wa watangaza mpira wenye ubora unaokidhi mabadiliko ya utangazaji duniani. Kwenye uchambuzi wa mpira pia kuna tatizo kama hilo. Hao unaowaona ndo wamejitokeza na azam imewachukua. Kama kuna unayemjua anatangaza na kuchambua mpira kisasa kwa...
  4. mwanamara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera mkuu! Jana nimejitahidi kumkwepa porto lakini liecester kaniangusha. Mzungu ntampa za uso kabla weekend haijaisha kama kawaida.
  5. mwanamara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Al Ahly-1 Benfica-1 Liecester-H1+ Total points-2 Natupia 100,000/=
  6. mwanamara

    Mwenyekiti shule binafsi: Ada elekezi kwa shule binafsi ni kiini macho

    Wanaotaka elimu kwa gharama nafuu wapeleke watoto wao shule za serikali na wasiotaka elimu kwa gharama nafuu wapeleke watoto wao shule za binafsi. Isitoshe hizo hizo shule binafsi zinatofautiana gharama na uamuzi wa kuchagua ni wako kulingana na mfuko wako.
  7. mwanamara

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Haki ya wananchi haimaanishi wasioweza kugharamia elimu za wanao shule binafsi tu bali hata wanaoweza. Kama we ni mwanachi usiyeweza gharama ya shule binafsi na unaona ni vyema serikali iingilie kati kukupa nafuu bila kujali huo ubora utapungua ama kubaki vilevile pia ni vyema ukatambua kuwa...
  8. mwanamara

    Mke wangu simuelewi

    Mkuu kujitambua muhimu sana nyakati hizi. Naona unadhani we ni mstaarabu kumbe hujitambui.
  9. mwanamara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongereni mliofuata post namba #23341
  10. mwanamara

    Wanawake acheni kuvaa mawigi

    Kuvaa wigi ni kujivika ufu.
  11. mwanamara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpaka alhamisi hiyo. Arsenal-1&H2+ Barcelona-1&H2+ Liverpool-1&H2+ Total Odds=3.2 Natupia 1 M
  12. mwanamara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    barca -1 chelsea-1 olympiakos-1 Porto-2+
  13. mwanamara

    Katuni bora ya mwaka

    Hiyo katuni inaakisi vijana wa magamba ambao kwa mkumbo wameamua kushabikia ccm ambayo imetawala babu na bibi zao mpaka baba na mama zao.
  14. mwanamara

    Wanawake wa Kimarangu ni hatari

    Kila kabila lina wema na waovu. Kama u mwema na hupendi uovu huwezi tetea waovu na uovu wao kwa sababu tu wao ni sehemu ya kabila lako. Acheni waovu wasemwe uovu wao kwa wakati huu na wema watasifiwa wema wao wakati mwingine. Majivuno ya kujipa mamlaka ya kutetea kabila zima wakati wa kuwasema...
  15. mwanamara

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1153513660040 Standard account ------------------------------------------ [25/25] 0810 Santa Cruz:Vila Nova Final Score 1 1.42 0811 Oeste:Portuguesa Final Score 1 1.83 1100...
  16. mwanamara

    Suarez v diego costa

    Lui noma
  17. mwanamara

    Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    Nafasi ya kufuzu hatua ya makundi kuelekea hatua ya mtoano bado ipo kama ilivyodhaniwa ipo kabla ya hii mechi iwapo tutashinda mechi dhidi ya ivory coast na dhidi ya gambia halafu morocco aishide gambia ili awe na matumaini ya kufuvu kwa kutuombea njaa dhidi ya gambia. Hiyo itawafanya morocco...
  18. mwanamara

    Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    Mipango yetu yote ilivurugwa na kadi nyekundu. Haikuwa rahisi tena kufikiria kuwakabili vyema na kuwashinda waarabu kwao huku tukiwa pungufu tayari. Nawapongeza starz kwa jinsi walivyojitahidi kukabiliana na waarabu huku wakiwa pungufu. Licha ya juhudi zote za kutulia kipindi cha pili bado pengo...
  19. mwanamara

    Ubaguzi CRDB

    Tarime.....Acha kuleta taarifa za hovyo bila kutafiti.
Back
Top Bottom