Search results

  1. MMASSY

    Naomba Hotuba ya Rais Samia isomwe Makanisani na misikitini kwa mwaka mzima

    Wakati ametoka Zanzibar akaja kuwa Makamu Mwenyekiti wa bunge Maalumu la Katiba mpya anadhani alikuwa anaongoza kikao Cha Upatanishi kwenye familia yake?
  2. MMASSY

    Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

    Umejitahidi,endelea kushusha halafu tuchuje Yale mazuri yatuelimishe na mabaya tukuachie mkuu
  3. MMASSY

    Kwa Kiingereza hiki kwenye barua ya ufafanuzi kukamatwa kina Dkt. Slaa heri tuendelee na Kiswahili, ni aibu ya mwaka

    Angeprood read yeye angeharibu zaidi Bora aliacha hivi hivi
  4. MMASSY

    SoC02 Tanzania yenye sura mbili ndani ya sura moja

    Safi sana,hongera kwa insight nzuri
  5. MMASSY

    Aina za watu hatari katika kufanikisha ndoto zako

    Na Jerome Mmassy,Arusha Mwandishi wa vitabu maarufu Jim Rohn alisema kuwa “Wewe ni wastani wa watu watano unaokaa nao muda mwingi”.- Alisisitiza kuwa Kama unataka kufanikiwa hakikisha unatumia muda mwingi kukaa na watu ambao watakuwa na msaada kwenye mafanikio yako. Katika Maisha ya kawaida...
  6. MMASSY

    Unamfundisha vipi mwanao kuwa muungwana?

    Na Jerome Mmassy,Arusha Ulishaona unampatia mtoto kitu anachokihitaji ama alichokuomba na asiseme asante?Ulishaona mtoto ama mtu mzima ana kukosea na haoni tatizo wala hajishugulishi kuomba msamaha?.Katika jamii tunamoishi hujawahi kuona mtu anakukosea na ukimweleza anakwambia basi yaishe...
  7. MMASSY

    Fahamu mbinu za kumrekebisha mtoto mkorofi

    Na Jerome Mmassy, Arusha Moja ya changamoto jamii inayokumbana nayo nyakati hizi katika malezi na makuzi ya watoto ni watoto kuwa wakorofi na wasiotii kile wanachoambiwa.Na pengine wazazi ama walezi wamekuwa wakitamani sana watoto wao wawe kama wao walivyokuwa miaka ya 1970/1980. Ni vyema...
  8. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Lol,kumbe nabishana na mjinga???Sorry
  9. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Vyote nauza,na sijaja hapa kukushawishi wala sio kazi yangu
  10. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Ungekuww umeenda shule kidogo ya Philosophy ungeelewa The principle of non contradiction pengine ingekusaidia
  11. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Such kind of foolish criticism.Utakuew unafugiw kwenye keyboard bila shaka.Go on
  12. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Nimepitia sana ukosoaji wako sioni hoja ya msingi.Huwa nakubali sana objective criticism.....Sasa kuniambia umeshawahi kukutana na mkurugenzi wa sijui nini nayo sio hoja kwangu,unefuga sijui broiler,Sasso n.k nayo bado sio hoja........Ni kweli kwamba kitabu chetu kina sura nyingi na moja ya sura...
  13. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Hey,ufugaji kuku hauna uhusiano wowote na stori za vijiweni.Ni biashara serious kabisa tena yenye kuhitaji umakini wa kiwango cha lami.Huwa nipo busy sana kuwahudumia na kuwajali wateja ambao wako serious na wenye nia ya kuanzisha ufugaji.Nyie wa michongo hayo ndio majibu yanayowastahili.Hizo...
  14. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Endelea kusubiria wenzako watoboe mwamba wazame halafu wakishapata huo mwamba wa dhahabu waje wakushtue.Nadhani ndio maana ukachagua jina hilo pia.Ha haaaaa
  15. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Watu wengine tulizaluwa na chapa ya "Marufuku kukata tamaa" Tunachofanya ni kujaribu kuweka maarifa na elimu ama ujuzi tulioupata katika ufugaji ili angalau watoto na wajukuu wako waje wapitie na kupata uelewa sababu hiki kizazi cha nyoka hakiamini chochote. Nashukuru umenisaidia kuwa vijana ni...
  16. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Hadi jana jioni tumemaliza kuuza wa kwetu zaidi ya 1200 na bado mahitaji ni makubwa.Huyo jamaa yako unayemdalalia inawezekana wewe ndie ulimdalalia pia vifaranga ukapiga cha juu kwa kumdanganya soko liko nje nje sasa unataka upumulie kwangu That is never possible......Lakini fact ni...
  17. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Endelea kutufuatilia fb kwa jina la Africhick Poultry Project
  18. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Wenzako tulishaianza kitambo na sasa tunaburudika.......ndio maana tunawaletea wanaotaka kuingia kanuni/sheria za kuingia kwenye ngoma yenyewe kabla baunsa hajawatoa nje ya ukumbi kwa kipigo
  19. MMASSY

    Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Endelea kufuatilia Africhick Poultry Project kwa elimu zaidi ndugu
Back
Top Bottom