Search results

  1. Q

    Maalim Seif: Tunataka kiti cha Zanzibar UN kirudishwe

    km kweli mnataka mamlaka kamili ya zanziba igeni mfano mdogo wa mtwara....mna serikali, mna wabunge, mna wanaharakati, mna vijana, ingieni mtaani daini mamlaka yenu acheni kulalama hovyo kuna watanganyika hawajui maana na faida hawaioni ya muungano. kama hamtafanya hayo tulie tuwanyonye vizuri
  2. Q

    Utajiri wa Gesi Asilia: Tuwasikilize Watanzania wa Mtwara na Lindi - Tusipuuze

    uko vizuri zzk, ila ungana na majembe m4c....mapambano ya haki yaungwe mkono bila kujali nani kaanzisha
  3. Q

    CHADEMA, Tusiuogope ukweli, tukubali kukosolewa

    Ni rahisi kuikosoa CCM kwa sababu ya misingi iliyowazi na kwa kanuni zilizoijenga CCM wakati wa kuanzishwa kwake ambayo ikikiukwa inakuwa rahisi kukosolewa…kwaiyo misingi iliyowazi, sera pamoja na itikadi sahihi inayoeleweka kwa wanachama huifanya chama kujipatia wanachama, wapenzi pamoja...
  4. Q

    Kumshitaki Mbunge Lusinde kwa matusi aliyomwaga Arumeru

    hivi wa TZ lini mtaacha kujidanganya na neno mahakama kuwa mahali pa haki? waende mahakamani na bado lucnde atashinda,
  5. Q

    Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

    mara nyingi wabongo hatuko logic, ili rais asimame nani anamsimamisha? bila shaka chama chake...km JK hafai maana yke ccm haifaii. hao unaofikiria ni safi ndani chama kwa nini hawakusimama kupinga JK kupita? kama taifa tuna mambo muhimu ya kujadili mf. uzalendo ni nini? uzalendo unajitokezaje...
  6. Q

    Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

    mara nyingi wabongo hatuko logic, ili rais asimame nani anamsimamisha? bila shaka chama chake...km JK hafai maana yke ccm haifaii. hao unaofikiria ni safi ndani chama kwa nini hawakusimama kupinga JK kupita? kama taifa tuna mambo muhimu ya kujadili mf. uzalendo ni nini? uzalendo unajitokezaje...
  7. Q

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    "wewe ni baya lisilotuzuru, yaani jema lisilotufaa"
  8. Q

    Misingi ya ukristo au uislamu wetu, na wale waliouleta(waarabu na wazungu) kipi cha muhimu?

    WANA JF NAPENDA TUJADILI MADA HUSIKA ILI NAMI NIPATE UELEWA ZAIDI. Kila kukicha huwa haikosekani thread za udini kwa upeo wangu mdogo nafikiri tunachanganya mambo mawili 'misingi za dini na wale waliotuletea hizo dini'...wale waliotuletea dini wametimiza kazi yao ya kuhubiri misingi kuu ya...
  9. Q

    Ni wapi tunakosea sisi kama waafrika na kama watanzania kufikia maendeleo ya kweli na endelevu?

    Nimekuwa najiuliza nini maana ya nchi zilizoendelea, na nini maana ya nchi zinazoendelea? ni wapi hasa tunakosea, wapi tuelekeze nguvu zetu kufikia maendeleo ya kweli? wewe km great thinkers ukipewa hii nchi utafanya nini kama kipaombele ya kwanza kufikia maendeleo ya kweli?....
  10. Q

    CHADEMA sasa kula sahani moja na mawaziri watatu wa JK hadi kieleweke

    'Propaganda huwa zipo' lakini hili la hao mawaziri siyo propaganda. embu tukumbuke historia inatuambia nini,wakati uchaguzi mkuu 2000 ccm walileta propaganda km hizi dhidi ya cuf yafuatayo yalisemwa: cuf ni chama cha kidini, kigaidi(ikumbukwe Osama anawika) kama haitoshi siku chache kabla ya...
  11. Q

    Kamati kuu ya CHADEMA yakutana leo kwa dharura

    kiburi ya cdm ni siasa safi,uzalendo na maendeleo, ila ccm kiburi yao inatokana na jeuri ya kuwa na matawi mfu nchi nzima.pili kazi ya kuelimisha umma ni kazi endelevu isiyo na kikomo na niwajibu kikatiba wa vyama vya siasa, asasi za kiraia na serikali. freemason!!!!! usiliogope hili neno maana...
  12. Q

    Sheikh Mohamed; Sio 'wivu' wa kidini, ni fedha zetu, only

    Dini ni ya mwenye dini, misikiti na mahakama za dini itajengwa na wenye dini! Na cvinginevyo wakati cc tunajadili mambo yacyo na maana wenzetu wako mwezini(outerspace) wengine wako hata hapa tz wanachota madini,wanatalii mbuga zetu booking wanafanyia kwao? DINI YA KWANZA NI NCHI YAKO, enyi...
Back
Top Bottom