Search results

  1. P

    Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

    Ukiwa haujui halafu unaconfidence kuwa unajua huwa inachekesha sana, nakumwelimisha mtu huyo ni ngumu sana, mwenyehekima unamwacha tu na elimu yake mbovu hakosi huko mbele akaumia maana hana namna nyingine ya kujifunza isipokuwa kuumia, uchungu huo utakuwa mwalimu tosha kuliko kuumpa elimu...
  2. P

    HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

    Nakuwa na uhakika kabisa nimesamehewa dhambi zangu nilizoungama, ndio maana natamka kwa kujiamini kabisa niliungama nikatimiza malipizi, na hamna sentensi inayonifariji kama, kwa mamlaka niliyopewa nami nakuondolea dhambi zako kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu
  3. P

    Acheni kujifariji, Yesu hakuwa masikini/kapuku

    Watu wanachagua vitu ambavyo sio kweli na kupakaza alikuwa masikini, masiki gani anaweza nywesha harusi nzima peke yake.
  4. P

    Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

    Mimba ni ushahidi tu kuwa condom haikutumika, hayo mengine ni nadharia tu ya kuwa mwema ambayo ni wale wanojitia uadilifu uwakandamiza wenzao. Na huyo huyo unaweza ukakuta anafurahia mimba ya ng'ombe na kutamka maneno ya kashfa akiona mimba ya binadamu
  5. P

    Kumbukumbu za Majumba ya Sinema Jijini Dar es Salaam

    Majestic cinema, Tanga hii?
  6. P

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Vipi mgao umeshaanza, naona mnakata umeme Kila mchana?
  7. P

    Ndoa yangu haina amani

    We uwajui wanawake wa hivyo, mara mia ukope kwa watu baki usichukue hata shillingi moja kutoka kwa huyo mwanamke, hiyo utakayochukua kutoka kwake itazamisha hela yote, kwa sababu hela atakayotoa yeye itakuwa na maneno ya laana kama yote, ukiangalia kwa juju tu unaona bidii aliyokuwa nafanya ili...
  8. P

    Vitu vya msingi ambavyo ilitakiwa tufundishwe polepole tangu utotoni lakini haikuwa hivyo

    Hapo kwenye fedha wanakufundisha hasa kwenye suala la usiwe na fedha, yaani ikiwezekana uendeleze umaskini wa ukoo, na maneno ya ajabu kama fedha haioti kwenye miti, wakati ukweli fedha ni karatasi na karatasi inatokana na miti, na maneno mengi ya kukufanya usiwaze wala usione ni fahari kuwa na...
  9. P

    Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

    Nilimsikia daktari mmoja akizungumzia swala hilo, yeye alisema suala la kuridhika linamuhusu mtuhumiwa mwenyewe, lazima naye afanye bidii ya kuweza kuridhika kama halidhiki na wewe umefanya sehemu yako ni tatizo lake lazima afanye bidii afikie kuridhika sio kumtwisha mtu mwingine mzigo wa yeye...
  10. P

    Mnadani leo Kibamba

    Habari hii ni njema hasa ukiwa umetoka misa ya kwanza
  11. P

    Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

    Hivi huku kwenye ushirikina kuna technology ya kusimamisha ujauzito usikue kwa kipindi unachotaka halafu baadae unauachia uendelee kukua na mtoto akazaliwa?
  12. P

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Marekani lasimika askofu wa kwanza anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Usingeamini haya yanawezekana katika kanisa linalokemea na kujipambanua kusoma maandiko, tusishangae watakapoamua kumwabudu shetani kabisa waziwazi
  13. P

    Kama Kanisa Katoliki hawatakemea huu Ujinga nitashangaa sana

    Hao waliokamatwa wanatoka jumuiya gani? Na ya mtaa gani? Kanda ya Mtakatifu nani hapo parokiani?
  14. P

    Kwanini watoto wa kike siku hizi wanapiga sana picha za utupu?

    Ukiona uchi unabeba kalaana fulani kutoka kwa muhusika rejea watoto wa Nuhu baada ya kutoka kwenye safina, hamna njia rahisi kama ya kukutumia picha ya uchi ikiambatana na dua ya laana ya mtuma uchi
  15. P

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Una amka asubuhi, unaanza na likes kwanza
  16. P

    #COVID19 Fatma Karume: Hakuna chanjo ya lazima. Haki za Binadamu zinataka faragha hususan wa mwili wako

    Form six ya zamani sana, ambayo kwa sasa ni kama Phd mbili hivi
Back
Top Bottom