Search results

  1. CPU

    Kontena zaidi ya 2 ya Jezi feki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2 zakamatwa

    Hizo Jezi zinatengenezwa kwa gharama kubwa sana, na ubora wa hali ya juu. Unaweza kuzivaa kwa muda mrefu bila kuonesha uchakavu. Ni pesa nyingi sana watu wamewekeza. Hakuna jezi original ya klabu yoyote ya Ligi Kuu duniani utauziwa kwa elf 8. Jezi ya Mashujaa nimenunua juzi, ni elf 35. Vitu...
  2. CPU

    Dereva wa UDOM akamatwa kwa madai ya kummwagia Kemikali Afisa Mtendaji

    Hii ni mbinu ya ku-ignore tatizo la msingi, na kufanya ionekane tatizo ni wanaume tu, kama vile wanaume ni watu ambao hawapaswi kuvurugwa, bila kuzingatia matendo ya mwanamke. Mwanamke anazalishwa na mwanaume mwingine, kisha anakuja kudai mali za mwanaume wake wa zamani, mnaona ni sawa tu, as...
  3. CPU

    Mwenyekiti wa PAC umethibitisha udhaifu wa Bunge, Lugola na Mpango mpo exit door

    Hii ni video ya zamani, ya mwaka jana . . . . Haikuja baada ya kauli ya Lugola, naomba kumbukumbu iwekwe sawa. Kama hakuna taarifa yoyote zaidi ya hii, maana yake PAC na LAAC bado hawajatoa kauli yoyote
  4. CPU

    MAREKANI: Rais Trump matatani ukatili wa kijinsia

    kitakachotokea ni kwamba, uchunguzi huo utakuwa mreeeeeefu . . . . then mwishowe wataona hana cha kujibu, anaendeleza libeneke
  5. CPU

    MWANZA: Vurumai kubwa yazuka baada ya wafanyabiashara kudai kupandishiwa kodi kwa 1,000% na kugoma

    Hesabu unaijua, ila jamaa kakuvuruga mpaka umekosa confidence na unachokiamini (ambacho ni cha kweli pia) Umemwambia aweke hesabu zake, hajaweka. Anasema anasubiri taarifa ya habari. Yaan hata yeye hajui kitu chochote, ila ni mbishi wa kiwango cha Messi au Ronaldo. Siku hizi kuna wabishi wa...
  6. CPU

    Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Namaanisha umaarufu wa chama ambao utawapa uhakika angalau kupata kura nyingi za Mgombea wao Urais, na hata wabunge wengi. Kwa ilivyo sasa hawataweza
  7. CPU

    Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Itakuwa Zitto anataka kutumia shortcut kupata umaarufu wa haraka haraka wa chama chake
  8. CPU

    Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

    Nashindwa kuamini kama uzi huu umeandikwa na MM. - Hakuna sehemu yoyote ya katiba inayoipa Mahakama uwezo wa KUISIMAMIA Bunge kazi zake - Umesema kwamba Mahakama ndio yenye madaraka yote kuhusu haki, ni kweli. Lakini sio haki za kuzuia kazi, tena za mhimili mwenza wa nchi. Mahakama haina uwezo...
  9. CPU

    Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

    Hata kujibu hoja za watu inakushinda, maana umelala tu kitandani halafu unadai eti KILICHONITOKEA LEO MWENGE? Heheheheh . . . . . unaiba hadi post?? Kweli wewe mufilisi kabisa kimawazo Kaibe zingine, zipo kibao nimeziweka
  10. CPU

    Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

    Acha wizi wa post za watu weweeee . . . . kujifanya tukio limekutokea wewe wakati hujui lolote, ume copy na ku paste Yaani mpaka watu wanakuita we Mpeli . . . . wewe ni Mpeli wewe?
  11. CPU

    Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

    Jamaa mwiz wa status za watu
  12. CPU

    Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

    Bampani sio Mpeli bana, ni mwizi wa habari za watu na kuzigeuza za kwake. Amecopi na kupesti tu Mi ndo Mpeli mwenyewe
  13. CPU

    Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

    Unajitahidi sana mkuu kwa ku copy na kupesti . . . . . Hata huku nipo pia. >> Huyu jamaa Bampami kakopi story yangu ktk facebook kaileta huku ili impatie maujiko daaah >> Daah . . . Eti nilichokifanya Mwenge jana . . . . Kawanunua kweli wadau >> Soma orijinal story ujionee . . . . kakopi hadi...
  14. CPU

    Wako wapi watu hawa?

    Mi nipo, ila daaah . . . .
  15. CPU

    Waliooa waliowazidi kipato hawana ufanisi

    Hii imefanyiwa utafiti huko nchi za wenzetu lakin naona inatugusa hata sisi. Inasemekana kwamba wanaume waliooa wanawake wenye mishahara mikubwa au vyeo kuwazidi wao, huathirika kisaikolojia wakati wa tendo la ndoa na wengi wao hutoka nje ya ndoa. Utafiti umebaini...
  16. CPU

    Girls, Sio kila Relationship imeandikwa ifikie ndoa!

    Kuna mdada hapa ananiambia . . . . . "Sio kila relationship watu lazima waoane, nyingine ni tuition tu mtu unajifunza. Anasema tuition kwenye kusoma humfanya mtu afanye vizuri darasani na ktk mitihani, wakati ktk mapenzi anakuwa amepata uzoefu zaidi na kukomaa zaidi kuweza kumudu ndoa"...
  17. CPU

    Lazima uwe mume -----..

    Walivua ndio lakin mi naongelea wale wanaoishi na waume zao kwa status hizo ulizosema. Na kuvua wala sio kuolewa.
  18. CPU

    Lazima uwe mume -----..

    Kama Spika au?? Maana mi najua type hizo wengi wana watoto bila waume
Back
Top Bottom