Search results

  1. M

    Prof. Issa Shivji auchambua utawala wa Rais Magufuli

    Hivi neno ' mabepari' ni sahihi kulitumia hapo? Maana wakati wa JKN lilitumika negatively na siasa zake za ujamaa maana hao waliinekana ni wanyonyaji, wanaofaidika kupitia rasilimali(watu,ardhi,fedha nk) kujinufaisha wenyewe tu bila hata chembe ya ubinadamu na uzalendo(Azimio la Arusha), sasa...
  2. M

    Jose Mourinho afutwa kazi Chelsea

    Ni kweli inauma lkn haina jinsi.Mou namkubali toka yupo Poto. Nilihama Arsenal nikamfuata Chls, nikamfuata Inter,Real na baadaye kurudi darajani.Popote ulipo tupo! Nina imani atarudi Epl, ila akijiunga na Ma U, mmh mtihani, hapo sitakuwa naye kitimu bali mafanikio binafsi! God Bls U Mou!
  3. M

    Ada elekezi kwa Shule binafsi kutolewa Desemba 15 mwaka huu

    Jamani kwa nini ugombane nao, wewe si una ubavu,imarisha shule zako, madarasa,walimu bota,miundombinu ya kufundishia na vifaa weka vyiwe safi tena viwango! Sasa tuone kama wadau bado wataenda huko private! Huko nyuma presidaa mmoja aliimarisha hospitali, private phamacy na Dispensary zilianza ku...
  4. M

    Njozi hizi zinamaanisha nini?

    Najaribu: Na1. Kushuka mlima ni kuporomoka ulikokuwa, sasa vile ni familia nzima basi tafuta chanzo huenda mmoja kafanya balaa sasa laana ni ya familia. Msitu ni hali asili au pia makazi ya mizimu. Kwa kifupi kama ni Mkristu kimbilia kanisani la sivyo ndo mnakabidhiwa kuzimu hivyo! 2. Tv ni...
  5. M

    Bi harusi aliyetoroka apatikana

    Hayo yanatokea, Mke wangu siku moja kabla ya ndoa alikuwa mkali kwangu kupindikua, alivyotulizwa nami pia kuanza kumfokea akanyamaza, kumbe alikuwa anapanga kutoroka Usiku. Alimshirikisha mpambe wake mmoja ambaye hakukubaliana naye hivyo kiripoti kwa Mchungaji wake, naye alimtaka kuonana naye...
  6. M

    Ingekuwa ni Hon. Edward Ngoyai Lowassa, tungefurahia ushindi tangu hatua ya kwanza ya matokeo!

    Kwa trend ya matokeo tunayosemewa, ni mpungufu wa uwezo wa kupambanua mambo tu kujipa moyo eti UKAWA atakuja kutangazwa mashindi!Ila labda nitetee hoja mbili zinazochangiwa; Kuungana kwa vyama, amefaidika sana CUF ambao walikuwa wanaonekana kuishiwa pumzi bara. NCCR kapoteza; Kwanza kuishadadaia...
  7. M

    Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    Hilo lumenigusa, nami dada yangu alisomea Financial Management, huko Algeria tangu arudi yupo tu home 2 yrs now, kazi kaambiwa akajitafitie. Kila anapoomba anaambiwa lajbda angechukua Accounts! Mwenye mchongo anitonye.
  8. M

    Msaada kwa wale wanaotumia viagra kuongeza nguvu za kiume

    Hayo sio majibu, mwenzetu kauliza huna jibu kaa kimya wahusika watamjibu na wewe kupata ujuzi. Kwa kifupi jina viagra limekuwa la ujumla wa dawa zote za kisasa ktk kumuwezesha mwanamume kushiriki kisawsawa ktk game ya 6 kwa 6.Tatizo linalohangaikiwa ni aidha kukosa nguvu ya kutosha,kufika...
  9. M

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Maombi:Ee Mungu nikutumikiaye, Ulinde kinywa cha Mtumishi wako, Hekima ya Kimungu imuongoze, aongee yale atakayoongozwa na Roho wa Mungu tu, ili hii safari ya Ukombozi isije ikatibuliwa tukaanza kuzunguka jangwani kwa miaka 40 tena. Katika Jina lipitalo kila Jina ninaomba.
  10. M

    Elections 2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    Jamani, kwa anayeifahamu lugha ya kiingeteza vzr, atutafrisie ujumbe huu muhimu ktk uchaguzi kwa mustakabsli wa nchi yetu nzuri. kwa kiingereza changu ya shule za kikwetu, kama vile nimeona; Mashindano/uchaguzi ya(u)liyopo sasa sio UKAWA dhidi ya CCM au EL dhidi JPM bali ni ya...
  11. M

    Utabiri wa atakayekuwa rais mpya wa TZ huu hapa

    Uzima na mauti vi ktk vinywa vyetu; Nafuta huo utabiri kupitia unajimu wako(chukizo la wa Amoni) KJY! Mungu Akibariki hakuna wa kuzuia; mfuatilie Mussa alivyopita,Sauli,Daudi,Yesu,Petro,Yohana,Paulo nk kwani njia za Mungu ni tofauti kabisa na hekima na elimu(unajibu/uchawi ukiwemo) kwani Yeye ni...
  12. M

    Mahakama yaamuru Kafulila akamatwe mara moja

    Kweli mkuu, mleta mada ni mshabiki tu wa upande fulani, maana contents za hiyo post aihusiani na Jaji Werema wala mambo ya tumbili na na nyani wa kuitana mwizi kati ya David na Jaji. Na kosa la kutoonekana mahakamani na kutolewa amri ya kukamatwa mbona si kiivyo inavyoripotiwa kwenye media!
  13. M

    ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

    Wapashe hao,siku hizi chaguo ni lako, machanei kibao, ukiona ITV inakuboa hamua TBS ukaone viduko na mipasho iliyo nyuma ya wakati,ukitaka zingine nenda StarTV ambayo kwangu mimi huwa nasubiria za kimataifa na michezo, lkn ukitaka hali halisi ya mambo njoo ITV, sasa wanacholalama ni kitu gani...
  14. M

    Dawa za kuponya magonjwa sugu na yanayosumbua binadamu

    Jamani, hivi kila mtu anatoa sumu mwilini, watu mliopewa dhamana ya kudhibiti tiba mpo wapi? Leo nilitembelea maonesho ya Nanenane hapa mkoani, kila baada ya banda moja la mambo ya kilimo(zana,mbegu,mazao nk) lililofuata ni Tiba mbadala na kubwa ni Dawa, au tiba ya kuondoa sumu mwilini! Dawa za...
  15. M

    Misemo 2 aliyotoa Gratian Mkoba mkutano mkuu CHADEMA: Ina maana gani?

    Ujumbe kwa waliobaki 'Ugambani', yaani wakati wa kutoka ni sasa, la sivyo wataishia humo. Yaani wakati wa maamuzi, sahihi na wakati sahihi ni sasa. Na ile ya gogo, ni sawa na yule anayezuia mafuriko kwa mkono, maana yake madhara yatakuwa kwako. Neno kukata gogo hapo limetumika kwa nia nzuri...
  16. M

    Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    Nakuunga mkono kaka. Mafanikio yote haya tunayoyaona ni baada ya mchango mkubwa Dr(Phd) Slaa. Mbowe wala hakuwa na mvuto, uwezo wala dira ya CDM. Hata alipogombea uraisi alijua wazi Magamba hawatakubaki kuachia kwa vile mizizi ya upinzani ilikuwa sio kama ilivyo sasa. Hivyo aligombea uraisi kwa...
  17. M

    Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    Nakuunga mkono kaka. Mafanikio yote haya tunayoyaona ni baada ya mchango mkubwa Dr(Phd) Slaa. Mbowe wala hakuwa na mvuto, uwezo wala dira ya CDM. Hata alipogombea uraisi alijua wazi Magamba hawatakubaki kuachia kwa vile mizizi ya upinzani ilikuwa sio kama ilivyo sasa. Hivyo aligombea uraisi kwa...
  18. M

    Mauzauza: Vitu vya ajabu vinamtokea ndugu yangu akiingia kwenye nyumba anayoijenga

    Hayo ni mapepo yamewekwa na mawakala wa shetani, ambao ni watu waliojiunganisha na falme wenye kiti cha enzi eneo hilo. Dawa ya kuyaondoa ni mbili, moja rahisi sana ambayo ni ku sarrender to kwa mkuu wa anga hilo akuingize kwenye himaya yake kwa kumuita 'mtaalamu' aje akuzindikie nyumba kwa...
  19. M

    Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

    Asante Kingunge. Haki hupewi mezani, bali ni kuipigania(sio lazima kwa ngumi) bali hoja zenye kuzingatia sheria,kanuni. Hata ile ya Dunia nzima inasema; usimuhukumu mtu pasi kumsikiliza utetezi wake kwanza!Nilikuwa simkubali sana EL vile niliaminishwa kuwa Fisadi,Gamba,Rushwa etc (ingawa rekodi...
Back
Top Bottom