Search results

  1. Mr Chabo

    Wanawake wa kimanyema na kijita nini sababu

    Apo umenena Gaga. Wenye vibututu amna hashki, mizuka yenu aipandi. Nyiye ndiye wa kwanza kulalamika. Unaniumiza, nimechoka Nk Wenye ndefu, ndio kwanza wanataka kitu kisitoke milele.
  2. Mr Chabo

    Kwamtoro nipo huru, week moja kama miaka kumi

    Mayanza alikumayanzisha, karibu sana
  3. Mr Chabo

    Makali ya umeme, chanzo cha milipuko ya makombora Gonga la Mboto

    Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa, tatizo ni umeme
  4. Mr Chabo

    Maneno ya kwny ukuta wa RELI

    Sio vyote vingaavyo ni dhahabu, vingine vyupa
  5. Mr Chabo

    Maneno ya kwny ukuta wa RELI

    Kifo cha mende akina darasa
  6. Mr Chabo

    kwa Wanawake na Kinadada

    Fahari ya macho, aifilisi duka.
  7. Mr Chabo

    kwa Wanawake na Kinadada

    Sayansi na teke linalotujia kwa kasi, sasa tutashidwa kutongoza
  8. Mr Chabo

    Masikini Mandela!!!!

    Anaumwa, tumuombee kwa Mungu apate kupona mapema
  9. Mr Chabo

    Vituko!!!!!!!

    Inamaana!
  10. Mr Chabo

    Pombe tunazokunywa jamanii! Zitatutoa roho.

    Umenikumbusha yangu tena, krisimas nililala mbele ya nyumba yangu. Asubuhi aibu
  11. Mr Chabo

    Urafiki wa Police jamii, shirikishi kwa wananchi ni sawa na urafiki wa Chui na Mbuzi

    Hiyo habari nami niliisikia kipinde hicho nikiwa Dodoma. Kwa kweli vyombo vya habari avikuwa vingi hususani magazeti. Tupo pamoja katika kupigania katiba mpya. Tuondokane na huu ukungu tulionao
  12. Mr Chabo

    Kwa mashemeji zangu wasandawe!

    Mimi nimefanya kazi Kondoa Kusini, siyo kweli.
  13. Mr Chabo

    Inyee

    Hee!!!!!
  14. Mr Chabo

    Mambo ya Kitchen Party - Mwanamke mkorogo babuuu

    Jamanii! Kweli hiyo njano, inanuhusu mimi.
  15. Mr Chabo

    Makamba Vs Tambwe Hiza nani mkali wa Pumba?

    Tabwe ana akili za matope ili hali makamba ana akili za kimba, nitawapeni jibu baadae nani mkali kwa pumba.
  16. Mr Chabo

    Mbolea ya my love

    Naombeni ushauri. Napata kichefu chefu nikiona mbolea hata ya kuku kama siyo ya binadamu. Ila ya mpenzi wangu hata kushika ainipi tabu. Je huu ni ugojwa?
  17. Mr Chabo

    Michezo mingine Mmmmmm!

    Khaa!! Kisigino kutu. Rose1980 umeniacha feri, nashanga mmeli uliobeba kontena 700
  18. Mr Chabo

    Michezo mingine Mmmmmm!

    Nimeipenda style ya Mama yake, nyiye wa kifo cha mende. Ichukueni hiyo
  19. Mr Chabo

    Michezo mingine Mmmmmm!

    Nyota njema uonekana mapema. Father like son
Back
Top Bottom