Search results

  1. Msichoke

    Dkt. Mwigulu: Mifumo ya kielektroniki ni muarobaini upotevu wa mapato ya serikali

    Matumizi sahihi na salama ya mifumo ya kieletroniki Serikalini, yametajwa kuwa suluhisho la kudumu katika kuziba mianya ya upotevu wa rasilimali za serikali ikiwemo mapato yatokanayo na vyanzo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa jana jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba, wakati...
  2. Msichoke

    Matapeli wa miaka ya 90's walikuwa balaa sana

    Ukipenda shortcut lazima utapeliwe.Mimi tangu nitapeliwe pale DDC Kariakoo mwaka 1998 sijatapeliwa tena hadi leo😀 Ukiniambia sijui Almas nakuelekeza pa kwenda kuziuza.Nimemaliza
  3. Msichoke

    Senzo + injinia Hersi wapindua meza kwa Luis, Ahly wakubaliana na Yanga

    Mwandishi una undugu na Alinacha?
  4. Msichoke

    Naombea Simba atolewe na Orlando

    Kwani Uto huwa mna lugha ya kizalendo Simba akifungwa?
  5. Msichoke

    Prof. Mbarawa aweka jiwe la msingi mradi wa SGR Makutupora - Tabora

    Mambo yamebadilika enzi za Mtukufu (the late CEO) haya yote alikuwa anafanya mwenyewe. Mawaziri walibaki kupiga makofi tu au kuzindua installation za tranforma tu😁
  6. Msichoke

    Nimepata email ya kuitwa kwenye usaili ila nahisi matapeli hawa jamaa hembu nishaurini bandugu

    Yaani ukiniomba hata 1000 ili niwe kwenye interview umenikosa
  7. Msichoke

    Kwanini NSSF hawanipi mafao yangu yote baada ya kuacha ajira?

    Mbunge wako alipitisha hii sheria nenda kamuulize vizuri kabla hujampa kura tena
  8. Msichoke

    Uchaguzi 2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

    Kwani kipi kilianza;majimbo au maendeleo? N unaposema issue ya Ukabila inakujaje? Kwani tukisema Mwanza,Geita,Shinyanga liwe jimbo moja ndio itachochea ukabila? Kwani watu wa makabila mengine hawatoruhusiwa kufanya kazi?Kazi zitatolewa kwa kigezo cha ukabila? Shule zitafundishwa kwa kisukuma...
  9. Msichoke

    Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

    Naomba picha za hao watumishi wa Umma majasiri niwaone
  10. Msichoke

    Sitosahau: Tuliowahi kukimbia kazi za kubeba beseni na kuzitembeza mitaani tukutane hapa

    Mimi nilikutana nayo 2006 huko...jamaa walikuwa pale Magomeni Usalama.Nilipewa mdada ndio supervisor aiseee tulikanyaga toka Magomeni hadi Karume nikamwambia mimi naishia pale nikapanda daladala nikarudi ofisini kwao niliacha kibegi changu nikabeba nikala kona.
  11. Msichoke

    Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Mwanasheria Tundu Lissu amesema hatorudi Tanzania hadi apate uhakika wa usalama wake
  12. Msichoke

    Rc Makonda anahitaji pongezi

    Imekuwa kawaida kwa kauli au maamuzi ya Mkuu wa Mkoa kuonekana kufeli miongoni mwa Watanzania...lakini ule uamuzi wa kuwazuuia Wachezaji waandamizi wa Taifa Stars Erasto Nyoni na Kevin Yondani kustaafu kuchezea timu ya Taifa anastahili kupongezwa. Makonda aliona mbali au mwendelezo wa kauli au...
  13. Msichoke

    Makampuni ya mawasiliano yalalamikiwa kwa kuwaibia wateja pesa za vifurushi kwenye simu. Vodacom yatajwa Bungeni

    Ila kwenye Mpesa ndio tunaliwa zaidi yaani inakatwa kotekote...mtumaji unakatwa na unaemtumia unakatwa. Yaani kama una 20,000 ukimtumia mtu lazima 3000 waikombe wao. Hapo 1000 utakatwa mtumaji na 2000 akienda kutoa
  14. Msichoke

    Hapa hata mimi nlishangaa...kwa Mfanyakazi wa Shirika kubwa kama Hili?

    Para 1 hadi 7 hazina uhusiano na para zilibaki huko chini.
  15. Msichoke

    Hapa hata mimi nlishangaa...kwa Mfanyakazi wa Shirika kubwa kama Hili?

    Baadhi ya Wahaya mna maisha ya filamu sana.
  16. Msichoke

    Sisi wenye sura MBAYA tusahau kuajiriwa kwenye hizi organizations.....

    Sasa sura ngumu,unacheka kama umenuna nani akupe ajira inahusisha watu kama Banking au PR
  17. Msichoke

    NSSF ni mateso, wafanyakazi wanaporwa haki zao

    Hayo mambo mengine muwe mnawaulize wabunge wenu....wao ndio huwa wanaitikia NDIYO pale mjengoni,sasa Waziri afanyeje kama Wabunge wanazipitisha hizo sheria? Ni utekelezaji tu
  18. Msichoke

    Samahani naomba kujuzwa utaratibu wa malipo Youtube

    Subs 1000 na 4000mns view time...Na pia uwe na genuine content. Ukikopy video za watu unatwanga maji kwa kinu joh
Back
Top Bottom