Search results

  1. A

    Kweli harusi sasa zinazidi kututia umasikini

    Ni ushauri tu, kama unataka kuoa na una uwezo wa kufanya arusi, fanya, na kama umejitathmini pamoja na familia yenu na kujikuta hamuwezi gharama za harusi, tafadhali usitafute urafiki na kuchukua namba kwa kila utakae salimiana nae ili mradi baadae uombe mchango. unajipa mzigo ambao...
  2. A

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hapa Mtoni kijichi maandalizi yanaendelea wasimamizi wasimamizi wameshafika na watu ni wengi sana
  3. A

    Kwanini wapenzi wa CCM wanaiona Richmond lakini hawaioni Escrow?

    Siku hizi pia maccm yanajidai kumpenda Dr Slaa wakati hapo nyuma walikua wakimtukana
  4. A

    Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

    haujawai kuwa mwanachadema usituzuge hapa
  5. A

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Kweli magamba wanakazi! Wale waliochota escrow walishafukuzwa ccm, au mnaongea kwa kua mlipewa midomo
  6. A

    LOWASA vs KAFULILA.

    akiliza kilumumba hizi jibu hoja sio kumuattack mtoa hoja
  7. A

    Makongoro Nyerere: Edward Lowassa ni muongo, fisadi na alituiba pesa kupitia Richmond

    hata mimi sijawai kusikia neno richmond......kupenda kubaya
  8. A

    Tundu Lissu aponda safari ya Lowassa ya Matumaini adai ni safari ya matumizi

    Umeshindwa kujibu hoja umeamua kumwaga matusi
  9. A

    Haya ndio majina ya kike na kiume yenye mvuto wa kimapenzi

    Kawagwataichodhgochuothnyochngor
  10. A

    Haya ndio majina ya kike na kiume yenye mvuto wa kimapenzi

    Acheni utani majina yenye mvuto ni haya 1.Owino 2.Ochuodho 3.Okello 4.Owiti 5.Onyango 6.Opiyo 7.Oloo ukitaka yakike, herufi za mwanzo zisomeke A
  11. A

    Hivi uamuzi wa kuoa unakujaje jamani?

    Bora umeongea ukweli
  12. A

    Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

    Mimi nafikiri wanaume wengi tunakosea sana kutoonyesha misimamo yetu tangu tukiwa wachumba kwa kufikiria huenda atakuacha au akuone wewe ni wa maana sana, lla maisha ya ndoa hayako hivyo, kumbuka huyu ni mwenza wa maisha na huwezi kuishi kwa kujifanya maisha yako yote matokeo yake ndo hayo...
  13. A

    Mnyika Azidi Kuchanja Mbuga Aivuruga CCM Busega

    picha basi mchezo unoge
  14. A

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nami nilibadlisha Engine kutoka D4 kwenda 3s, ila sioni tatizo lolote, ka jamma bado anatatizo anipm nimuunganishe na fundi, lakin kama gari lipo Dar
  15. A

    Chekeni basi

    Umekopi kutoka kwa Joti na Mpoki enzi hizooooooooooo:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
  16. A

    Natafuta mume wa kunioa

    Kwa hiyo kazi ikiaribika huyo Mume akuache, eti sio goal digger.........................nyoooooooo
  17. A

    Nape: Lowassa ameanza kufanya kampeni, yuko hatarini kuenguliwa

    ACT ya Limbu au ya Zitto? nauliza tu.
Back
Top Bottom