Search results

  1. kanga

    Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    nashukuru, hakika ni container la ream paper A4
  2. kanga

    Ushauri wenu wabobezi kuhusu gharama za TRA kulipia 20ft Container kutoka China

    Wadau katika kutaka kujikomboa kimaisha nimeona Alibaba.com kununua mzigo na kusafirisha hadi BONGO siyo gharama kubwa ,issue ikabaki kwangu je wazee wa Kaisari -TRA hapo ndio kikwazo mara nyingi.Kwa maelezo hayo naomebi wabobezi wa biashara kutoka CHINA na ambao wana shop at ALIBABA.COM...
  3. kanga

    Qatar na Dubai ndio nchi bora kufanya kazi Uarabuni

    Luna uwezekano kufanya kazi zaidi ya ajira moja kwa mwezi, je msomi mwenye vyeti kama Dr, CPA analipwaje
  4. kanga

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Upigaji kura ya kumwondoa spika ni siri hats ccm wanapiga Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kanga

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Ni wazi spika Ndugai amekuwa adui wa wananchi kwa kutozimgatia maslahi ya umma na utawala bora na kuwa mpiga mihuri ya serikali. Mambo mengi ya ovyo ameshindwa kusimamia kama hoja ya 1.5 trioni, hoja ya Lugumi serikali pamoja na akina Kangi ni Sarakasi tu serikali inafanya hasa ukizingatia terms...
  6. kanga

    Wangoni na wamatengo waogopeni

    S Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kanga

    Wanaokebehi juhudi za BoT kulinda hela zetu za kigeni wajifunze haya

    You are a rogue ,failed samples.money changers nenda pale Namanga kwa wasomali, au Isbania Sarari upigwe fake currencies and unpredictable rates.
  8. kanga

    Gavana wa Benki Kuu kukimbia maswali ya waandishi kunatoa tafsiri gani?

    Taarifa ya msomi,wakili,Gavana wa benki Kuu juu ya operation ya kudhibiti maduka ya fedha za kigeni kwa kutumia jeshi imeacha maswali mengi na madhara makubwa kwa uchumi wetu.Hata IDD Amin alianza hivi kidogokidogo akawa anakibalika na vikundi vya watu wachache wenye maslahi. Taarifa ya BOT ya...
  9. kanga

    Wastaafu tunaungana kupinga sheria na Kanuni mpya ya mafao ya mwaka 2018 Mahakamani

    mahakamani lazima watasimamisha hii sheria, kule bado wachache wapo wanatumia akili zao siyo kushikiwa kama akina Ndugae.
  10. kanga

    Wastaafu tunaungana kupinga sheria na Kanuni mpya ya mafao ya mwaka 2018 Mahakamani

    Sheria hii ni wizi na ujambazi wa Serikali dhidi ya watumishi.Kimsingi mafao ni malimbikizo ya michango mtumishi na mwajiri,kwa ufupi ni matokeo ya mishahara ya mtumishi.Kanuni ya kutoa 25% ya mafao kwa mkupuo na 75% serikali kubaki nazo kwa sababu nyepesi kama matumizi mabaya ya wastaafu ni...
  11. kanga

    Dawa ya kudumu ya Halmashauri zetu ni kuzifuta

    Daini kwanza 1.5 T ,zilikombwa na LGA?,
  12. kanga

    Tundu Lissu aelezea jaribio la kumuua lilivyoathiri maisha yake

    Write your reply...utaolewa bure,
  13. kanga

    Hati chafu isiwe kigezo cha mateso ya watumishi manispaa ya Kigoma/Ujiji

    Write your reply...nauli pesa zinaletwa karibu Council zote ,kutakiwa na shida ya utawala del wenu na ded
  14. kanga

    Baada ya TCRA kuzuia local channels, Chaneli za Kigeni zinazotumia Kiswahili zashika usukani. Kenya yatawala soko

    do hivi TBC siyo local channel?. mbona wanalazimiisha kila provider kuomyesha.watu tumekuwa watumwa kwa kutazama channel za nchi nyingine.Zeeworld ya series za kiswahili ni balaa pia kuna movie channel kama trybe,ROK,epic nk. bila kusahau KTN,citizens,k24.
  15. kanga

    Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Wadau nataka kuanzisha maabara ya kupima magonjwa huko bush, naomba kusaidiwa changamoto na faida katika hii biashara ya kutoa huduma kwa wananchi. Shukrani kwa msaada najua hapa JF hakuna lisilowezekana.
  16. kanga

    Wapi napata Mbegu bora ya Nguruwe Musoma

    wajuvi, naomba msaa wa kupata mbegu bora za nguruwe musoma.Nataka kuanzisha mradi was ufugaji was kibiashara.
  17. kanga

    Mh. Rais tengua uteuzi wa Msajili wa Hazina kwa sababu hizi

    atakuwa ametumwa tu hajui majukumu ya TR.
Back
Top Bottom