Search results

  1. Freelancer Wakala

    Wasanii mliokuwa mnabaniwa na Ruge huu ndo muda wa kithibitisha kauli zenu

    Hata ikifufuka haisadii chochote walikushusha ukiwa asilimia 99% ilibaki moja kutimia 100.Walikushusha aslimia 97 umebaki na 3 kati ya 99% halafu kaondoka eti uanze tena kwenye asilimia 3 wenzako wapo kwenye asilimia 99 wamebakiza moja kutimia 100%.Ndo unachotaka wafanye Bongo Records watafeli.
  2. Freelancer Wakala

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Mmmmmmh wametisha hawa jamaa!!
  3. Freelancer Wakala

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Nyie Dark Web nao wanasheherekea Mwaka mpya 2019 huu mwaka ungine tupeni ya dark web yapoje wakuu.
  4. Freelancer Wakala

    Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

    Dark Web hamjarudi tu? Au mmepotelea ukouko?
  5. Freelancer Wakala

    Video zilizotazamwa sana You tube kwa mwaka 2018 Harmonize aongoza yeye ni wa kwanza na wa mwisho You tube.

    Habari members!! Katika sakata la harmonize kuachana na Meneja wake Mr.Puaz ndo limeshika habari hapa Tanzania uku Harmonize tunayemjadili yupo Nigeria leo katika jiji la Lagos katika harakati zake za kutoa show nchini humo. Yote na yote tumtakie kazi njema kijana huyo Harmonize katika...
  6. Freelancer Wakala

    Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

    Huu wimbo kwangu sijawahi kuhusikia wala kuuona kwa You Tube tangu utoke.
  7. Freelancer Wakala

    Watu bora kwa mwaka 2018 na watu wenye mafanikio kwa mwaka 2018.

    Habari JF members. Kichwa cha habari kama kinavyosema Watu bora kwa MWAKA 2018 na wenye mafanikio makubwa kwa MWAKA 2018. Mr.Lovebite kipenzi cha walimbende I am lavalava amesema kwake "namba moja MWAKA huu ni Mama yake mzazi ni bora zaidi,Familia yake,Uongozi wake wa WCB...
  8. Freelancer Wakala

    Natafuta mwanamme wa kunioa.

    Nipo single
  9. Freelancer Wakala

    List Konk za Wasanii 10 bora barani africa zilizotazamwa sana youtube na List konk ngoma 10 bora za bongofleva zilizofanya vizuri mwaka 2018.

    Kichwa cha habari kama kinavyosema hapo juu. Zifuatazo ni list za wasanii 10 barani afrika ambapo wameweka record za ngoma zao kutazamwa sana katika mtandao wa YOU TUBE kwa MWAKA 2018. 1.P-Square- 676M+ 2.Davido-649M 3.Diamond Platnumz-516M+ 4.Mr.Flavor-434M+ 5.TeknoMile-369M+ 6.YemiAlade-290M+...
  10. Freelancer Wakala

    Naombeni Ushauri Nifanyeje

    Mimi single boy nacomment wapi
  11. Freelancer Wakala

    Baada ya kunikosa mimi sasa anamtaka dada yangu kimapenzi

    Sisi tulio single boy tunacomment wapi?
  12. Freelancer Wakala

    Hatimaye BASATA imewaruhusu wasanii Diamond na Rayvanny kuendelea na Tamasha lao la Wasafi Festival.

    Habari wakuu!! Lile sakata la Diamond Platinumz na Rayvanny na Tamasha lao lilofungiwa hatimaye BASATA wamewaruhusu nchini Kenya na Comoro. Ambapo rufaa yao itajadiliwa February mwakani 2019. Katika Ratiba yake Diamond na Tamasha lake la Wasafi Festival tarehe 24 desemba 2018 wako Kenya uko...
Back
Top Bottom