Search results

  1. D

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    mimi naona kubishana na hawa watu nikupoteza muda 2.ccm wajaribu kuja na hoja ya maana.kilasiku chadema wanakuja na hoja mpya wao wamebakia na mshahara wa DRr Slaa.
  2. D

    Chiligati apasua mafisadi CCM asema Mwakani mwisho wa mafisadi dagaa

    huu ni mkutano au kikao? cz iyo idadi ya watu aingi akilini kwangu kama uwo ni mkutano
  3. D

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    wee acha kuongea pumba,unajua wakiana beckham wanalipwa sh ngapi kwa wiki.kama auna hoja bora ukae kimya.
  4. D

    Mkulo anatuongopea?

    mimi naona hiyo ndio sababu cz walimpigia simu akiwa Kenya akasema ajibu hoja za mitahani.
  5. D

    Zitto: Serikali ya JK katika hali mbaya kifedha; Mkulo Akanusha!

    nasubiria kuona uwo moto utaowaka, kwenye bunge lijalo cz lazima serikali ya ccm,watakuja na agenda ya kuongeza kodi,kuficha hii aibu. patakuwa hapatoshi
  6. D

    Mgao wa umeme wa kufa mtu watangazwa, Juni 2011 na kuendelea

    hii serikali yetu bana,walisema kina cha maji kimepungua.sasa ivi mvua zinanyesha wanasema gesi ni hadimu.nachojiuliza wakati wanaanza uwo mradi wa gesi,awakufanya tafiti kujua ni kiasi gani cha gesi kinachopatikana?
  7. D

    Najuta kuhamia nyumba hii

    mi nahisi jaribu kumfinya kidogo atakua na heshima
  8. D

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Originally Posted by GeniusBrain Fuatilia vyombo vya habari utaujua ukweli, huwa sibabaishi mkuu kwenye mambo yangu ni kweli GB mimi si kulaumu,tatizo ulikurupuka.
  9. D

    Ronaldo: Barca inabebwa

    Raisi wa FIFA anasema club bora ni Bercelona unatgemea refari na yeye atalalia upande gani.but all in all Mun U lazima amugamize
  10. D

    kima cha chini 315,000/=

    adding the the salary to employees,for me is not the solution.they should control inflation and price of the goods.
  11. D

    Kipindi: Malumbano ya hoja (ITV); kitadumu

    vijana watafanya nini wakati serikali awna police nzuri za kuwawezesha?wengi wa watanzania ni maskini,elimu ni duni,ajira hakuna,umeme ndo huo mgao,miundo mbinu ni mibovu kiasi ambacho mtu akilima,mazao yanaozea mashambani,inflation ni kubwa. wanasema kilimo kwanza wakati viongozi wanakula...
  12. D

    Kipindi: Malumbano ya hoja (ITV); kitadumu

    nimefurai kusikia hii habari.plz mkuu endelea kutupa updates cz wengine tupo nje ya nchi
  13. D

    Haka ndiko kabinti kangu...

    naona umfungulie kesi huyu mtu akafie jela.ili iwe fundisho kwa watu wengina wenye tabia kama izi.
  14. D

    Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

    hehehe,wakinanai wataenda, while majority of people are still poor.labda alikosa cha kuongea
  15. D

    CHADEMA Kuitikisa Nyanda za Juu Kusini; Safari Kuanza kesho

    kazi nzuri mheshimiwa.still vijijini wanaitaji elimu zaidi
Back
Top Bottom