Search results

  1. Engager

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Ngoja nitengeneze account ya kike nijitaje😫
  2. Engager

    Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

    Habari inaandikwa kishabiki hadi inapoteza radha yani.
  3. Engager

    Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    Wabongo acheni shobo. Hamna kitu tunachojua kuhusu Vita. Kama ushabiki wa Simba na Yanga umewashinda, basi Fungeni mabakuli yenu.
  4. Engager

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Ndio. Kuna sadaka lakini sio sadaka ya pesa. Mungu alipokea sadaka ya kuteketeza. Ilikuwa hivo hata kabla shetani hajaasi. Baada ya shetani kuasi, alianza kuendesha mambo yake mengi kwa mfanano wa Mungu. Hata katika suala la sadaka. Nae akaanza kuchua sadaka za kuteketeza, sadaka ya Damu...
  5. Engager

    Fanya hivi usipofanikiwa niite mbwa nimekaa pale

    Uwa najiuliza Mungu anahitaji pesa za kazi gani.
  6. Engager

    Tazama kazi za Rais Samia

    Hizo kazi ulizotaja niza mtendaji wa kata. Thats very cheap for a country president.
  7. Engager

    Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Miaka 28. nilipofikisha 30 vyuma vikakaza. Nikaisukuma. Hadi sasa imeshindikana tena. But inshallah, 38 haitanikuta nikiwa hivi tena. Naiwe.
  8. Engager

    Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Umejua kwa kuchelewa. Na huenda bado hujajua vizuri😊
  9. Engager

    Nataka kufuga bundi, lakini jamii hainielewi

    Ni wajibu wako kuprove kwenye jamii yako kuwa bundi ni ndege kama ndege wengine.
  10. Engager

    Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Inashangaza eti mpaka leo wanawake hawajui wanaume ni viumbe wa aina gani!
  11. Engager

    Nimetafuta Wimbo Wa Eid El fitri Wa kisukuma nimeukosa

    Ukiona msukuma mwislam, hilo ni pandikizi.
  12. Engager

    Yapi ni maji bora kwa ajili ya kunywa?

    Ukipata kiu, kunywa maji yaliyopo. Chemical zipo kila kona.
  13. Engager

    Aliyeozeshwa mtoto ahukumiwa miaka 30 Jela

    Adhabu nzito wanapewa wasiostahili. Miaska 30 inawafaa mafisadi.
  14. Engager

    Klabu ya Yanga itakuwa maarufu sana

    Huu ni upepo tuu. Haichukui muda watu watasahau kila kitu.
  15. Engager

    Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Yaani nasikia raha wanavoumia yaani🤣🤣🤣
  16. Engager

    Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Kwahyo unaacha kufanya jambo sababu halijafanyika zaidi ya miaka 50. Hiyo ni akili ya kimaskini.
  17. Engager

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

    Tunazijua.
  18. Engager

    GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    Ni mimi tu au hata nyie mnaamini hiyo ahadi ndo anguko lao?!
Back
Top Bottom