Search results

  1. Khalid Humud

    Tukutane hapa Android application developers

    mimi kuanzia jana ndio nimeanza kujaribu kuitimiza ndoto yangu ya kuwa mtengenezaji mzuri wa app bt sijajua mtandao wa kujifunzia cozi hii help plz
  2. Khalid Humud

    Jifunze kutengeneza android applications

    mbona haipatikano hiyo blog
  3. Khalid Humud

    Chuo cha kizuri cha IT Arusha

    shukrani kwa ushirikiano wako
  4. Khalid Humud

    Chuo cha kizuri cha IT Arusha

    jommo ipo sehemu gani
  5. Khalid Humud

    Chuo cha kizuri cha IT Arusha

    kilombero sehemu ipi pale inachuo?
  6. Khalid Humud

    Nimeolewa ila sijui ni kwanini namtamani sana huyu kichaa

    muulize mumeo akushauri huku tutakuzingua tu vuuuuuuuuuuuuuuuuuufyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  7. Khalid Humud

    Kifo hakipangwi na Mungu

    Bora uamini mungu yupo alafu usimkute kuliko kuamni hakuna mungu alafu ukamkute hapo ndipo utakapoishiwa pozi
  8. Khalid Humud

    Kifo hakipangwi na Mungu

    kujipa moyo mnajua wakuu jadiliniiiii lakini mjue mwisho wa siku ni kifo tu
  9. Khalid Humud

    Chuo cha kizuri cha IT Arusha

    habari ndugu zangu wa jukwaa hili naomba msaada natamani kusoma maswala ya IT nipo arusha msaada wa chuo kizuri hapa Arusha na ada yao.
  10. Khalid Humud

    Jinsi ya kuweka domain name wordpress

    shukrani kwa ushirikiano wako nimefanikiwa mkuu www.binruwehy.com
  11. Khalid Humud

    Jinsi ya kuweka domain name wordpress

    shukrani nimepata muangaza email niliyotumiwa imesema hadi masaa 48
  12. Khalid Humud

    Jinsi ya kuweka domain name wordpress

    kwa hiyo hakuna haja ya kuwa na akaunti ya wordpres
  13. Khalid Humud

    Jinsi ya kuweka domain name wordpress

    Salam wakuu wa JF ninahitaji kuwa na website yangu tayari nimeshafanya host na domain yangu hii hapawww.binruwehy.com lakini siwezi kuiunganisha na wordpress msaada please
Back
Top Bottom