Search results

  1. mikonomiwili

    Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    hiki nikipindi cha soko huria badala ya kuzuia kununua makaa ya mawe South ningefikiri njia nzuri ni kuyaongezea kodi hata mara tatu . kama tunavyo fanya kwenye bithaa nyingine na hapo tunge pata hela nying zaidi
  2. mikonomiwili

    Anguko la Mabenki nchini? CRDB yapata hasara ya Sh. Bilioni 2

    wewe ndo hujui uchumi na si Raisi wako . alicho fanya ni sahihi kabisa ile competition ya mabank iwe sawa. na si bank moja iwe na hela zabure wakati nyingine zinateseka kua na hela. wacha mabenk yote yakope kwausawa .
  3. mikonomiwili

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    wabongo tunapenda sana kudanganyika nakuogopeshana Fanyeni kazi
  4. mikonomiwili

    Kwanini wanawake hawawapendi ndugu wa mwanaume?

    I meandikwa kwenye bibilia mwanaume anatakiwa akae na mke wake kwa kutumia akilinyingi sana . pia inawezekana wengine tunawalaumu bilasababu mwanaume kabla ya kuoa anakua hana majukumu mengi maranyingi na anaweza kua na uwezo wakuwasaidia nduguzake wengi , lakini akisha oa majukumu...
  5. mikonomiwili

    Kijiji kimoja huko Indonesia hufukua maiti kila mwezi Agosti

    Niutamaduni tu mbona hata hapa Tanzania kunawatu wanafanya hivyo , kama sijakosea ni maeneo ya kilimanjaro ila tofauti yao hawaziki tena
  6. mikonomiwili

    Baada ya usafi wa tar 9-12-2015 kuna hatari ya Tz nzima kukumbwa na kipindupindu

    Binadamu waajabu sana hata ufanye nini haachi kuongea ama kulalamika mitaa ikiwa michafu tunalalamika tukifanya usafi tunalalamika hayo nimatokeo na nichangamoto ambayo inatakiwa kufanyiwa kazi
  7. mikonomiwili

    Hii imekaaje ya kuja kulipia daraja la Kigamboni?

    sasa kunatofautigani kati ya kujenga daraja lakulipia na kutengeneza kivuko kingine viwe vinne ? naona wange ongeza vivuko tu tukaendelea kulipia
  8. mikonomiwili

    VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    hao waandishi wa habari Hawakuruhusiwa kumpiga picha ?
  9. mikonomiwili

    Wizara ya Nishati, yakanusha habari zinazodai mitambo ya Umeme inamilikiwa na Kampuni binafsi

    mbona swali lililojibiwa si linalozungumzwa ? alichosema waziri nimitambo ya kuchakata gas ambayo ipo mtwara na sii hi yakutengeneza umeme walio isema hapa
  10. mikonomiwili

    Vitambulisho 134 vya mpiga kura vyakamatwa na TAKUKURU mkoa wa Kagera

    muvi wameitengeneza wenyewe wamenunua wenyewe ili hao watu wasipige kura jiulize vitaenda wapi baada ya hapo ?
  11. mikonomiwili

    Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

    by the way na yule waziri wakenya aliye ruhusu meli zipite bila kubomolewa alifukuzwa kwa kashfa hiyo
  12. mikonomiwili

    Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    kuna mtu ana sema eti wataingiza hela chafu kwani hela ikitoka nje ikaingia inakua monitor na BOT ? kama wasipo ona uhalali wake wasikubali kilakitu nichao lakini bado wanaendeleza ujinga wakulalamika
  13. mikonomiwili

    Serikali yawajibu UKAWA kuhusu safari za Rais

    kama hajatumia 4 trilion tuambie katumia shiling ngapi ?
  14. mikonomiwili

    Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Nimejufunza kitu kikubwasana kutoka kwa huyu mzee . hata wenyewe wana kiri kua huyu mzee nimzee wamipango kuliko kuongea Na ndio kiongozi mkubwa wanchi ana takiwa awe
  15. mikonomiwili

    Dk Kigwangala apata wakati mgumu kuitetea CCM katika mdahalo

    kujitoa ufahamu nishida sana si aende mwananyamala ama hata muhimbile haswa kile chumba wanacholazwa waliovunjika miguu
  16. mikonomiwili

    Pichani... DK MAGUFULI Kunani Tena, Mbona Umewaongopea Watanzania Mapema Hivi?

    Ukiwa ccm akilizakawaida unaziweka pembeni . hivi alifikiri Tanzania nisawa na mkoa wa Dar ? labda kama hauijui hii Tanznaia huwezi zunguka mikoa yote kwagari huku una tumia nguvu nyingi kwenye kuhutubia ningumu sana labda alifikiri kote kuna lami ndo kaonja joto ya jiwe na bado wata leta...
  17. mikonomiwili

    Nape: Ni upuuzi ICC kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao

    mwambieni Nape Mkubwa hajambi atajikuta yupo kule huku ana piga kelele eti wanende na huko ulaya ulaya kunaujinga wa bao lamkono ?
  18. mikonomiwili

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Tatizo watu wamekariiri kampeni nimajukwaanitu wakiona kitu tofauti nimaigizo zile alizosema magufuli atajenga barabara tano tano junachini ambazo kila mwaka tunaambia siomaigizo ?
Back
Top Bottom