Search results

  1. E

    Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Mkuu Leo umeongea lugha moja Na Juliana shonza kweli kweli
  2. E

    Kafulila: Mahitaji ya watanzania kwa sasa yako UKAWA

    Tayali huyo hata machali alianza hivyo hivyo kukataa
  3. E

    Mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM kuhamia CHADEMA kesho saa 4 asbh

    Team Edo bwana iyo fb account mlicreate wenyewe na sasa mnaihukumu wenyewe mkacreate na acc ya BBC! Sasa mikwara ya nn si mfanye vitendo jamani tume choka
  4. E

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    hivi hajaona saizi Yake mpaka amtukane PENGO, mzeeupako mwingila hawapo !Dawa ya mjinga ni kumpuuza, Pengo wala hatomjbu
  5. E

    Tundu Lissu na Mchungaji Msigwa, acheni chuki za kitoto kwa Zitto

    mtu akikuzidi uwezo, unaweza mfanyia visa kwa kisingizio kingine kumbe ni wivu wa kike tuu.
  6. E

    Kinana ampongeza Lukuvi, Nape amtaka Nyalandu kuacha kutafuta watu wa kumtetea

    huyu nyalandu kusingekuwa na ban hapa jf ningesema ni mngaji nasa. uzululaji tuuu.
  7. E

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    hahaahahahahahaha labda kimazingara.
  8. E

    ACT Tanzania ni kama CCJ, nampa Zitto wiki mbili tu!

    wakati chadema inaanza mihemko ya wiki mbili ilikuwa bado haijaanza au ! acha kutumia fikra za wengine, tumia zako, umetumwa sio bure.
  9. E

    Wasomi zaidi ya 100 wamejaa Nyumbani kwa Lowasa Dodoma asubuhi hii

    Lowasa huwa anajimaliza mwenyewe kwa utunzi mfu kama huu.
  10. E

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    safi sana ! ZZK wish u all ze best ! walifikili watakukomoa ! act ni nuru, si sawa na lichama ulilotoka ambapo wachache wanafikili kwa niaba ya wengine.....!
  11. E

    JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

    Kijana anajikana ! hii inadhihirisha uongo kwenu jad maelezo yako yanadai una filamu inaitwa safari ya gwalu, id yako je
  12. E

    Deo Munishi na John Mallya wa CHADEMA

    umetoa ufafanuzi murua sana jamaa yangu hakika we mtu post za ukabila kabila huwa zinanikela sana japokuwa mi sio cdm
  13. E

    NAPE: Hatutaruhusu vurugu wakati wa kampeni za Kalenga

    we jamaa sio bure yaani unachotaka we ukimdhuru mwenzio akuache sio ! Tumia akili basi wakati mwingine unaweza kuwa na suala la msingi polisi wakakupuuza kwa kureport upuuzi kama huu.
  14. E

    KITUO cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB) kimemshitaki Rais Jakaya Kikwete The HAGUE

    Hasira za kukosa ujumbe ktk bunge maalum la katiba. Kibamba bwana mjanja mjanja tuu
  15. E

    Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

    Mkuu we kati ya hao ni nani au we si mwanachadema ?
  16. E

    Hizi rekodi za CCM ya sasa zitavunjwa lini?

    Unaweza ukute na wewe ni mmoja kati ya watu wenye nia ya kuja kuwa mbunge hapoo baadae ? Mungu atupe nguvu kwakweli ?
Back
Top Bottom