Search results

  1. Crucial Man

    Dawa ya mshipa (tezi)

    Wakuu heshima kwenu jamii Dr, Naomba mnisaidie as per the subject. Baba yangu mzazi ana umri wa miaka 78 anasumbuliwa sana akienda haja ndogo, anaweza akasimama nusu saa mkojo ukatoka kidoogoo. Nimejaribu kuwauliza waungwana mbalimbali wameniambia that's mshipa au tezi dume. Kwakuwa mzee yupo...
  2. Crucial Man

    Mapenzi yana run dunia...soma hapa/kama mvivu wa kusoma shauri yako

    If you thought the biggest risk of having sex in public was getting caught, think again. Here are 8 ways outdoor loving has gone wrong. A drunk woman in her 20s stunned passengers and cabin crew when she slipped off to the toilet to have sex with a man she had just met. The couple were caught...
  3. Crucial Man

    Meet twin sisters who share everything including their boyfriend

    -Mirror Ian Diaz says he knows some would consider him the luckiest man alive but says dating both Victoria and Amanda Hepperle 'isn't always an easy ride'. Growing up, twins Victoria and Amanda Hepperle were raised to share everything – toys, clothes and their deepest secrets. “What’s mine is...
  4. Crucial Man

    Naombeni ushauri wa kumpa huyu jamaa yangu.

    Kwanza naomba niweke wazi kwamba natumia kasimu ka mchini,so mambo ya paragraphs msiyajali sana...crucial man mamsup mtarajiwa kanichanganya naamua kwenda kupata mbili tatu baridi joint fulani hivi...narudi home around mid night nasikia mlango unagongwa..kufungua ni jamaa yangu wa karibu ambae...
  5. Crucial Man

    Mott mcdonarld

    Wakuu kuna mdogo wangu wa kike,kapata kazi na hawa jamaa,kaniomba ushauri amuage wino alipo kwa sasa au abaki..nimejaribu ku google hawa jamaa nimekutana sijaona their operation in Tz.je kuna yoyote anafaham kwa undani wanadeal na nini hapa bongo..nasikia wapo chini ya wizara ya elimu.huyo dogo...
  6. Crucial Man

    Kuhusu madai kwamba wababa wa kijaluo wanaomba uroda kwa wakwe.

    Ndugu wana jf,napenda kukanusha kwa nguvu zote kwamba moja kati ya mila za kijaluo ni kuwaomba uroda wake wa watoto wao kama alivyo tuhumu memba mmoja humu jf...pia naomba niweke wazi kwamba am strongly offended na natoa siku saba kwa mwanzisha mada aje humu akanushe au aweke ushahidi as per...
  7. Crucial Man

    ODM condemns Raila Odinga’s humiliation at JKIA

    ODM condemns Raila Odinga's humiliation at JKIA Updated Tuesday, June 4th 2013 at 15:02 GMT +3 By Roselyne Obala and Geoffrey Mosoku NAIROBI, KENYA: ODM leaders have condemned humiliation of former Prime Minister...
  8. Crucial Man

    Mbunge wa eala ataka jina la ziwa victoria libadilishwe

    EAST African Legislative Assembly members want Lake Victoria renamed as part of decolonising people. Eala MP Abubakar Zein Abubakar of Kenya said the lake should be renamed Lake Jumuiya, a Swahili word for unity, integration, harmony, brotherhood and communion, according to Uganda’s The New...
  9. Crucial Man

    Sababu za Raila kuyaeshimu maamuzi ya SC

    Nashawishika kusema kwamba Hon Raila Odinga Aliyajua maamuzi ya Sc hata kabla kutangazwa... (1) vyombo vya habari vya kenya vilitangaza kwamba Raila angetoa speech punde tu baada ya hukumu,na kweli alifanya hivyo bila kuchelewa. (2) ile speech yake ilikuwa imesha andaliwa mapema,ina maana...
  10. Crucial Man

    Election of Senate and Parliament speakers has cast Jubilee in bad light

    Election of Senate and Parliament speakers has cast Jubilee in bad light Updated 6 hrs 46 mins ago By Micah Kigen...
  11. Crucial Man

    Mba sehem nyeti

    Hello jamii doctors,nimekuwa na tatizo la kutokwa na dalili za mba sehemu za katikati ya paja na testacles zangu,both sides.siku za nyuma nilipewa dawa ya kupaka zikapotea kabisa.mara hii zimerudi kwa kasi sana.juu ya pumbu moja kametokea kama kibarango,after 3 days kame spread na kameanza...
  12. Crucial Man

    Raila Amolo Odinga: The road towards Presidential elections 2013

    A salaam wakuu, Nimekuwa nikifuatilia kwa mbali siasa za majirani zetu kenya.nimetokea kuvutiwa na huyu waziri mkuu odinga.huyu jamaa anaonekana reformist kwa jinsi anavyo endesha siasa zake. Kinachonipa wasiwasi ni jinsi huyu mh Odinga anavyopigwa fitina na wanasiasa wa Kenya. Watu wako...
  13. Crucial Man

    Mwanangu anakoroma sana

    Wanabodi hemima kwenu,mwanangu ana umri wa miaka mitatu.yaani dogo akilala anakoroma sana,wasi wasi wangu ni kwamba anaweza akaendele na ka habit haka mpaka ukubwani.napenda kuuliza je kuna namna naweza nikastop ka habit? Je kukoroma ni ugonjwa au husababishwa na nini.? Asanteni in advance.
Back
Top Bottom