Search results

  1. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    13th January 2018, 23:59.
  2. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    MyElimu ni social enteprise yenye lengo ya kusaidia wanafunzi wa sekondari waweze kusoma kwa urahisi ufasaha, na kutumia kile walichosoma kujiendeleza. MyElimu ilianza mwaka 2014 kama platform ya discussion kwa wanafunzi wa sekondari. Wanafunzi wanajadiliana na wenzao kupitia mtandao wa...
  3. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    Hey Livafan. Nimejibu swali lako. Apologies kwa kuchelewa.
  4. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    Point nzuri. Ili kuendana na matakwa ya authorities, kwa mwalimu atakayefundisha inabidi awe amesomea. Lakini MyElimu pia tuna platform ya wanafunzi kujadiliana ambayo tunafanya kazi na walimu pia. Hapo tunaweza kufanya kazi hata na ambaye hajasomea lakini anaweza kufundisha.
  5. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    Yes kwa kufundisha inabidi uwe kwenye fani. Yaani umesomea education.
  6. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    Nadhani kijana kama huyu twaweza kufanya naye kazi kwa namna moja ama nyingine.
  7. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    Nashukuru kwa kukumbusha. Tunahitaji walimu wa Kiswahili, English, Math, Biology, Physics Chemistry na Geography. Kwenye "kuendwa" sijaelewa, ila yes tunaajiri. Full time na part time.
  8. Given Edward

    Nafasi ya ajira: Walimu wanahitajika

    Hello. Kuna nafasi za walimu kwa ajili ya kujiunga na shirika la MyElimu kufundisha masomo ya sekondari. Mwalimu awe na uwezo wa ufundisha masomo mawili, awe fluent kwenye kiingereza na mjuzi wa kutumia mitandao. About MyElimu MyElimu ni social enteprise yenye lengo ya kusaidia wanafunzi wa...
  9. Given Edward

    MyElimu.com - Mtandao unaowakutanisha wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Hi all, Thank you for the feedback you gave wakati project inaanza. Imekuwa and now tunazidi kuiboresha kadri siku zinavyozidi kwenda. Unaweza kuiangalia kupitia myelimu.com then ukatoa ushauri. Bado tunakaribisha mawazo.
  10. Given Edward

    To all Tech addicts:- Creative criticism required to this project!

    Hi all, Thank you for the feedback you gave wakati project inaanza. Imekuwa and now tunazidi kuiboresha kadri siku zinavyozidi kwenda. Unaweza kuiangalia kupitia myelimu.com then ukatoa ushauri. Bado tunakaribisha mawazo.
  11. Given Edward

    MyElimu.com - Mtandao unaowakutanisha wanafunzi wa sekondari Tanzania

    Nini hasa kinasumbua? Kama kuna error message unayopata itasaidia.
  12. Given Edward

    JKT Yatangaza Mafunzo Kwa Wanafunzi Wahitimu Kidato cha Sita 2015

    Soma zaidi: http://jkt.go.tz/images/MATANGAZO/1.pdf
  13. Given Edward

    Muongozo: Napenda kusoma Public Administration

    Ajira zipo. If you are the best, no one will ignore you. The only way to get their respect is to be the best.
  14. Given Edward

    Walimu wa Historia naomba msaada

    Kaangalie myElimu | Discussions For Briliant Students
  15. Given Edward

    MyElimu.com - Mtandao unaowakutanisha wanafunzi wa sekondari Tanzania

    MyElimu.com mpaka sasa ina wanafunzi 800.:smile-big:
  16. Given Edward

    Tanzania yatoa shule mbili (2) bora za sekondari Africa katika 50 bora

    This list is irrelevant and has been critisized by various stakeholders in various countries. Wanasema baadhi ya shule kwenye list wanazijua na hazistahili kuwepo.
  17. Given Edward

    Nimetengeneza Online E-library

    Is it different na MyElimu.com?
  18. Given Edward

    Samsung galaxy note 4 launch after party in dar!

    Samsung wameandaa party ya uzinduzi kwa ajili ya Samsung Galaxy Note 4. I thought it would be great to share. hope tutakutana pale :) Events Name: Samsung Galaxy Note 4 launch Party in Dar Description: Samsung Mobile Tanzania brings you an exciting night out for Dar es salaam’s Elite- The...
  19. Given Edward

    About educational forums

    Check myElimu.com
Back
Top Bottom