Search results

  1. M

    Things Fall Apart in CHADEMA

    Kialisia si mbaya kutoka saa nane wala si hoja! Nadhani hoja walikuwa wanajadili nini, wamepata Muafaka gani, mbona nikitazama mwenendo wa Kesi ya Lwakatare kama Chadema wamejipanga zaidi ya Serikali? Kimtazamo tu, serikali kama imeona kuwa haina hoja za kushinda, licha ya kupelekamashitaka...
  2. M

    Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

    He may stand to be corrected! Pana raha sana hapo!
  3. M

    What are your favorite philosophical and political Quotes?

    Hatuwezi tatua matatizo kwa akili iliyo yaunda..............Mchungaji Peter Msigwa.
  4. M

    Chaguzi za ndani ya CCM: Lowassa awabwaga Kikwete na Sitta

    Shida kubwa, watanzania tunasumbuliwa na njaa, akitokea mwenye pesa huwa ana weza kuwatumia apendavyo, Lakini yote inatokana na wajanja hao kujua ukweli kuwa, wananchi wetu sio njaa tu lakini na ujinga ndo mtaji wao mkubwa wa kuendelea kuishika dola mpaka leo, Kwahiyo huo pia ndo tegemeo kubwa...
  5. M

    Huyu hapa anaelekea kumpiku Nape kwa "point" ndani ya CCM

    Yule mwalimu alikuwa anaitwa Yamakili, kulikuwa na sense ya u-geneus ila tatizo lilikuwa kuchanganya mambo! tumekunywa naye sana uji pale DH.
  6. M

    Daimond akiri kutoka na Jokate!

    last time Jokate alisema Diamond is too low kwake! hilo ni tusi kubwa sana kwa wote.
  7. M

    Ridhiwani Kikwete afichuka kukandia Millya

    Kuna mtu amewahi kuniambia wapinzani waki hukua nchi, anadhani watu watakao pata tabu zaidi ni . Nape Nnauye . Ridhwan Kikwete. Ni watu wanao ishi maisha yasiyo yao, na huku kweli wakiifahamu.
  8. M

    Tundu Lissu live on Channel ten

    thank u for info.
Back
Top Bottom