Search results

  1. RUSTEM PASHA

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    We mkinga wewe miamala haipo siku izi maana anajua nshajipata. alikua ananitumia Kwa vile anajua sure nilimpenda upendo wakweli sema ndio hivo alifata maokoto Kule maana Huwa anasema aliangalia future ya maisha yakwao , na nikweli Jamaa limewajengea mpaka kwao. Mimi ndio nahangaika kwenye...
  2. RUSTEM PASHA

    Breakup ya kwanza ilikuaje?

    Nilikua na Binti mmoja anaitwa Neema sintokuja kumsahau aliniumiza kiukweli, akaniacha akaenda Kwa bishoo mmoja aliekua na swagger kuliko mimi, ingawa kipato nilikua namzidi yule msenge wa NIT, kisa kafata mm dini nyingine nayeye anataka msabato mwenzake. Sijawahi kuumia kama vile, lkn...
  3. RUSTEM PASHA

    Marekani yapeleka Saudi Arabia Askari elfu 20 na silaha nzito kwa utayari dhidi ya vitisho vya Iran kushambulia Israel

    Moderator ondoeni huu upotoshaji wa mleta mada, hii video nikipindi Cha mzozo wa IRAN na SAUDIA nasio IRAN & ISRAEL.
  4. RUSTEM PASHA

    Marekani yapeleka Saudi Arabia Askari elfu 20 na silaha nzito kwa utayari dhidi ya vitisho vya Iran kushambulia Israel

    Saudia hajaruhusu. Na wabongo wengi ni wapumbavu, huwa hawasomi hata habari Wala kuangalia video wao wanakimbilia kukomenti tu, hio video Haina uhusiano na ISRAEL .
  5. RUSTEM PASHA

    I Love you too much Lamomy

    Mengine ninguvu ya mezaa😃
  6. RUSTEM PASHA

    I Love you too much Lamomy

    Jirani mbona kama yanatoka moyoni haya.😃
  7. RUSTEM PASHA

    I Love you too much Lamomy

    Hongera mke wa mtu. 😃
  8. RUSTEM PASHA

    I Love you too much Lamomy

    Jirani mie wako muda mrefu tuu mbona😃. Au mpaka unizalie mapacha.
  9. RUSTEM PASHA

    I Love you too much Lamomy

    Nimeumia sana mtu kumtaka mpenz wangu Lamomy 😃😃
  10. RUSTEM PASHA

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Ntaomba unipangishe kwako😃😃
  11. RUSTEM PASHA

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Lamomy jirani yangu tufunge ndoa basi, lkn ntakaa kwenye huo mjengo wako.😃😃
  12. RUSTEM PASHA

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Mbona Waha hawana shida, lkn ujeuri kawaida yao, itakua unataka kumpelekesha. KIGOMA HATOKI BOY.
  13. RUSTEM PASHA

    Biashara ya karanga

    W.O, Lake au Afroil, kati ya hizo haitokua Busara kutaja kampun. But nihizo tatu mojawapo vipi upo hayo maeneo?.
  14. RUSTEM PASHA

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nani alikuambia ISIS wanafata "SANA" sharia katika uislam?.nimevyosoma tu hapo nimepuuza na hoja zako.
  15. RUSTEM PASHA

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    Hasa Kwa wazawa nikweli, ingawa wanaridhika mapema.
Back
Top Bottom