Search results

  1. A

    Utouh: Dalili za nchi kutotawalika zinaonekana

    Kama hiyo mamlaka anayo Mwambie sasa hivi aifunge tuone
  2. A

    Utouh: Dalili za nchi kutotawalika zinaonekana

    kikwete hajaruhusu uhuru wetu. Uhuru huo tunao na yeye hana mamlaka hayo
  3. A

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Tarehe 25/12/2014 majira ya saa tatu Asubuhi Katika kanisa la Full Gospel Bible Fellow Ship, Kuta kuwa na ujumbe maalum Kwa Watawala walioko mdarakani wenye kichwa : HOFU YA HERODE: Waandishi wanakaribishwa Katika ibada hiyo ili Ujumbe huo uwafikie Wananchi na Taifa lote kwa ujumla. Waandishi...
  4. A

    Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    Kila unapotaja Uchafu wa mtu ni bora ukaweka Ushahidi ili tukuunge mkono : Angalia mleta mada hii ametaja majina na picha na ushahidi umekamilika ndo maana thread hii imekaa mda mrefu!!! sasa kama na wewe una ushahidi na hunachuki anzisha thread nyingine ili great thinker wakuchambue usitoe...
  5. A

    Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    Ni kweli Mwingira ana maadui wengi na kwa sisi tunao hubili kweli tuanafahamu kuwa hata Yesu alikuwa na maadui wengi ila Cha kushangaza ni kwamba chanzo cha maadui na uadui dhidi ya Mwingira si kwa sababu ya Injiri bali ni Zinaa ndio maana ana aibika na hakuna wa kumtetea !!! Hata shetani...
  6. A

    Mwinjilisti Damian Ndimbo wa Biblia ni jibu akamatwa na polisi

    Hawa vijana wanahubili Bibilia kwa kuzingatia Katiba lakini lipo tatizo moja ambalo mimi naliona: 1.Kuwakusanya Waislamu na kuanza kurumbana nao badala ya kuwabili!! 2.Kutumia vifungu vya Kashifa kuwa kashifu na kuibua Upungufu wa Qorani 3.Kutumia Qoran Kuhubili 4.Kikundi hicho kinatumiwa na...
  7. A

    Huu ni Mwaka wa Manabii Wazinzi kuumbuliwa!!!!!!!!!!!!!!

    Hii ni sura ya Nani??? Unamaana Mwingira?????????
  8. A

    Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

    Ni kweli Masanja ni Mlokole lakini ulokole wake ni ule wa akina Gamanywa na Mwingira!!! Huwezi kuigiza mambo ya imani matokeo yake ni hayo!!!! Huu usanii ni sawa na ule wa Mama Rwakatare!!!!!!!!!!!!!!
  9. A

    Michelle Obama: Acheni kufuatilia na kushupalia mavazi yangu

    Mke wa Obama amevaa WIGI!!! Anatetea WIGI!!! Sasa WIGI ni nywele Bandia !!! Mbona watoto wake sikuwaona na WIGI
  10. A

    Obama na Michelle na Muonekano wa Wapendanao safiiiiiii!

    Yawezekana ni kweli ,lakini kumbuka hata Bill Clincton alikuwa anafanya hivyo hivyo huku yupo na Monica!!! Hata hapa nchin mtu wetu yupo hivyo hivyo lakin............................
  11. A

    Mwigulu: Uhasama ulioko kati ya CCM na CHADEMA waweza pia kutumiwa na Watu wa nje kutugombanisha

    Ni kweli kuna chuki kati ya CDM na CCM lakini kuna chuki kubwa sana kati ya Mungu na Mwigulu!!! Jambo hili ni zito!!! Kauli yake mda si mrefu itajulikana!!! Mtu anayeshangilia kifo na vifo huku akitafuta madaraka kwa nguvu na huku damu ya watu ikimwagika hawezi kupona!!! Mwigulu akumbuke...
  12. A

    Mwigulu: Uhasama ulioko kati ya CCM na CHADEMA waweza pia kutumiwa na Watu wa nje kutugombanisha

    Namshauri kiongozi wa dini anayemlea Mwigulu kama yupo achukue hatua haraka ya kumusaidia!! Kauli ya Mwingulu imeleta taswira mbaya mbele za Mungu kwa kuwa damu imemwagika huku yeye akitoa kijeli!!! Hakika kwa jambo hili mimi naogopa sana kinachoweza kumutokea kama hatatubu haraka!!!
  13. A

    Mwigulu: Uhasama ulioko kati ya CCM na CHADEMA waweza pia kutumiwa na Watu wa nje kutugombanisha

    Kauli yoyote inayotoka kwa Shatani ni Mbaya hata kama itakuwa nzuri machoni pa watu!!! Jabazi anapokuuzia Kufuri ili utumie kufunga mlango kumbuka yeye ndiye atakaye kuja kubomoa!!!
  14. A

    Rwanda defence force retreat-kigali (picha)

    source??????????? Inaweza kuwa picha za zamani!!!
  15. A

    Bangi inavutwa hadharani Morogoro

    Wewe umejuaje kuwa hiyo ni harufu ya Bangi??????/
  16. A

    CHADEMA wataka 'Babu wa Loliondo' ashitakiwe

    Ule ni mradi wa kisiasa na wahusika ni akina Lowasa
  17. A

    CHADEMA wataka 'Babu wa Loliondo' ashitakiwe

    Lowassa alipeleka Nguvu zote kule!!!!!!!
  18. A

    CHADEMA wataka 'Babu wa Loliondo' ashitakiwe

    Kile Kikombe kilikuwa ni kipimo Cha Mambo yafuatayo: 1. Kimepima idadi ya Waathirika wa Ukimwi nchini 2.Kimepima vigogo wa serikali wanaosumbuliwa na magojwa sugu ukiwemo ukimwi 3.Kimepima idadi ya viongozi wa serikali wanao amini Uchawi 4.Kimepima Wachungaji feki wanao amini uchawi na...
Back
Top Bottom