Search results

  1. P

    Rais John P. Magufuli achana na wamachinga wa kichina, wahujumu uchumi hawa hapa

    Maamuzi ni kujiunga na kufanya biashara kubwa na za kimataifa na si kulia lia. Acha kulia lia. Utajiri tunawapa sisi wenyewe.
  2. P

    Ukweli kuhusu kinachoitwa "Wafanyabiashara wameficha sukari"

    Kwenye hali kama hii tunahitaji buffer stock ya sukari.
  3. P

    Ukweli kuhusu kinachoitwa "Wafanyabiashara wameficha sukari"

    Lakini mbona hatujiulizi kama viwanda vya sukari wanazalisha na kuuza au kusambaza sukari kwa sasa wakati wa sakata la upungufu wa sukari kwa walaji wa mwisho? Utaratibu wa uzalishaji na usambazaji wa sukari nchini ukoje? Nani aliuweka na nani anausimamia? Utaratibu wa uagizaji sukari nje na...
  4. P

    You are closer than you think to success

    Dear JMisiru, Thanks a lot for putting together this precious piece of advise. Keep it in English. I believe those of us who would keep to our course to greatness will in the end realize that perseverance pays a lot.
  5. P

    PENDEKEZO: Rais Magufuli, anzisha Vijiji vya Ujasiriamali

    Kwani kazi ya Baraza la Uwezeshaji la Taifa ni nini?
  6. P

    Uwakala wa forodha tra

    Utaratibu wa kupewa uwakala wa forodha uangaliwe upya?
  7. P

    Serikali kurejesha viwanda na mashamba yaliyokiuka mikataba ya ubinafsishaji

    Soma hapa http://www.tro.go.tz//docstation/com_content.article/119/press_release___kurejeshwa_kwa_viwanda_vilivyokiuka_masharti_ya_mikataba.pdf
  8. P

    Tusahau ya kampuni ya NICOL, hii ndio biashara itakayotutoa sisi watanzania

    Tatizo kubwa la watanzania ni uoga usiokuwa na maana. Wazo la mutual funds ni wazo zuri sana. Lakini hata wazo la Enterprise Growth Market, soko lililoanzishwa na Dar es Salaam Stock Exchange, ni wazo zuri sana. Kwa wale waliosoma finance wataniunga mkono kwamba hakuna uwekezaji usiokuwa na...
  9. P

    NEC Itoe Mwongozo Kwa Wale Majina yao Hayajaonekana Katka Vituo Vyao

    Kwa wale ambao majina yao hayapo kwenye orodha iliyobandikwa nje ya kituo na nakala iliyoko mikononi mwa DIRECTION CLERK aliyepo nje, wasihofu kwani kuna orodha iko ndani yenye majina na picha ambayo ndiko uhakiki wa majina na picha unakofanyikia. Waombe majina yao yaangaliwe huko. Orodha hii...
  10. P

    Elections 2010 Wakala wa CCM ajaribu kumpigia debe Masha kituoni, aondolewa

    Ninawapongeza wapenda haki wote hapo Nyamagana na kwingineko. Tunataka uchaguzi huru na wa haki. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
  11. P

    Elections 2010 Dkt. Slaa kushinda?

    Habari hii ina ukweli. Msiwe na hofu mabadiliko ni lazima kwa sababu yako mioyoni mwa watu. Tuombe amani.
  12. P

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Ni Dr. Slaa. Sera na mikakati ya Dr. SLAA na CHADEMA kwa ujumla kweli itaturudishia hesima ya kufanya kazi kwa bidii huku tukifuata sheria na taratibu za nchi yet. Mwisho wa ufisadi na ubabaishaji
  13. P

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Watanganyika tafuteni elimu zaidi. Watanzania tunaweza.
  14. P

    'The Economist' Takes Gloves off on Kikwete...

    Please, do not sell our land.
  15. P

    'The Economist' Takes Gloves off on Kikwete...

    The Economist. A wake Up Call. Tanganyikans are you there?!? I bet no.
  16. P

    Pesa za nani zinajenga mahekalu haya kijijini kwa Kikwete

    Haya mafaili ya Mang'ula ni yapi? Nani alimkataza kuyatoa. Mmmh! Sidhani kama hii ni sehemu ya utaratibu wa CCM. Ndiyo maana hakuyatoa hayo mafaili binafsi.
  17. P

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Katika hatua hii ya nmwisho ya awamu ya JK tunahitaji watu waadilifu kweli kweli, siyo marafiki. Watu hao wapo. Marafiki watamuangusha kama alivyofanya Edo and Company.Kura zetu tuzielekeze kwa watu hao.
  18. P

    Uzawa maana yake nini?

    Lengo langu siyo kueleza maana ya uzawa. Mimi ninaunga mkono sera ya uzawa kama ilivyoelezwa na Mh. Simba. Tulipokuwa wajamaa, njia kuu zote za uchumi zilikuwa mikononi mwa serikali kwa niaba ya wananchi wake. Baada ya mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa, njia hizo zilnarudishwa katika mikono ya...
Back
Top Bottom