Search results

  1. S

    Internet ya vodacom ni balaaaaaa

    Naona umetumwa kupiga promo. Hamna lolote, mi nimejiunga bundle ya wiki, hamna lolote. Elfu kumi yangu inaniuma
  2. S

    Natamani kuacha hii tabia lakin nashindwa naomba ushauri doctor

    Nadhani watu mmezidi kuwahukumu wezenu, hasa kwa wa Kristo,kumbukeni hakuna dhambi ndogo wala kubwa. Pricilla kasema anataka kuacha, hebu mpeni ushauri unaofaa. Si wote walio homosexuals wamependa kuwa ivyo, naomba muwe waelewa. Kwa Priscilla, nadhani, ukienda Muhimbili kitengo cha afye ya...
  3. S

    psychometric test,(interview)

    Psychometric tests ni jina linalojumlisha psychological tests ambazo ziko nyingi, mfano: intelligence test, attitude test, personality na kadhalika.
  4. S

    Hii ndiyo CV ya Dk. Hadji Hussein Mponda

    Aliyetoa hiyo CV ni mzushi. Dk Haji Mponda anajulikana kwa research na alikuwa Ifakara, kwenye research ya Malaria nadhani kama director na ukigoogle jina lake utaona publication zake.
Back
Top Bottom