Search results

  1. Cicero

    ‘Fragile Five’ Indebted Africa Nations Red-Flagged by Top Lender, Kenya ndani

    (Bloomberg) -- Five key African economies will face debt risks over the next two years, according to the continent’s biggest bank, as an era of extraordinary pandemic-induced stimulus and relief for poor nations draws to an end. “Debt sustainability now requires sharper focus,” Jibran Qureishi...
  2. Cicero

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Jiji chafu hili sijawahi kuona......barabara mbovu mashimo kila sehem na takataka mitaani. Nilijuta sana kuja huko for holiday sishauri mtu kabisa aende Mombasa.
  3. Cicero

    Tanzanian CEOs 2nd highest paid in Sub Saharan Africa after Nigeria

    Weka ushahidi from credible sources hii maneno ya nlifanya huku na huku no one gives a flying f*ck
  4. Cicero

    Tanzanian CEOs 2nd highest paid in Sub Saharan Africa after Nigeria

    NB: This is excluding South Africa Source: Nigeria CEOs Among Best Paid in Sub-Saharan Africa, PwC Says
  5. Cicero

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Nani ako na ile video ya mzungu akisema ametembelea SGR ya Kenya na ya Tanzania and ya Tanzania feels more up to Western standards than ya Kenya? Huwezi fananisha kitu cha Mchina na kitu cha Mturuki!
  6. Cicero

    Hivi Tanzania hawana ndege ya Rais?

    HAHAHAHA daaah nimecheka sana. Hivi hizi picha kuwa mnazipata wapi?
  7. Cicero

    WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Ushasema tropical diseases. Maana hiyo ni magonjwa yakwenu, wazungu hayawahusu kiviiile. Tengenezeni chanjo wenyewe kama mnaweza mmekuwa kama mitoto mnalilia wazungu watumie akili zao kuwaletea chanjo, ni aibu. Mzungu anatengeneza chanjo inayomhusu yeye na maisha yake na maslahi yake na ni haki...
  8. Cicero

    Zanzibar now East Africa's 4th largest airport

    Zanzibar is the fourth-largest airport in East Africa this winter, up from seventh year-on-year. Addis Ababa remains top, followed by Nairobi. Dar Es Salaam is now third, up by one place, while the island nation of Mauritius – which was third – has fallen out of the top-10. Zanzibar has seven...
  9. Cicero

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    This should have been the design ya TAZARA
  10. Cicero

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Pumba tupu. Mmeshindwa nini kujipikia miaka yote hiyo? Kafanyeni biashara na hao wachina wanaofadhili mchama wenu kwani lazima ulaya?
  11. Cicero

    Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

    Mimi nadhani kuna haja ya Watanzania kujiangalia shida iko wapi na nadhani sote tunaijua ila basi tu kuna waganga njaa waliojitoa ufaham kazi kuwaza matumbo yao tu.....Anyway yote maisha!
  12. Cicero

    Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

    Tatizo wanalishwa mauongo kila saa na wao wanayameza mazima.......ukiskia samaki kameza bait and hook ndio hii. Mi 5 tena! Viva CCM! Na bado mtazisoma namba!
  13. Cicero

    Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

    Kwani what is the end goal of economic development? Going in different directions lakini mwisho wa siku the goal is the same. Sasa kama mwenzako amekuzidi huoni kama kuna haja ya kujitathmini?
  14. Cicero

    Nimeshangaa sana NSSF, asilimia kubwa wanaodai mafao ni vijana na si wazee kama ilivyokuwa zamani

    Mweeh ina maana leo naweza kwenda kudai kahela kangu? Uko sure mkuu?
  15. Cicero

    Ukweli mchungu: Tanzania is NOT catching up to Kenya

    That is the bitter truth. Here is the most recent data from the IMF and extrapolation shows Kenya itazidi kuwa mbele ya Tanzania for the foreseeable future. This is by both GDP nominal and GDP Purchasing Power Parity terms. Can any level-headed person explain this trend. MATAGA and the like...
  16. Cicero

    Tanzania yanunua "ITX Bullet Trains" kutoka Korea Kusini

    Niliwahi panda hii kitu aisee ni very smooth. Big up Tanzania!
  17. Cicero

    Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

    Kuna vitu vya kutaniana ukiwa na platform kubwa kama ile na that is not one of them. SIMPLE. Ni kama Trump asimame afanye utani dhidi ya watu weusi. Anyway, sio kila mtu amebarikiwa busara za kulitambua hilo.
  18. Cicero

    Kenyan exports to Tanzania has increased to 7.99b in the first six months of 2020

    If anything this shows the two neighbours cannot afford to have bad blood. Sema nini, bomba la gesi mkiletewa mjue kwishney. Balance of trade itahamia on our side
  19. Cicero

    Njoo tumsaidie Tundu Lissu kupanga Baraza la Mawaziri

    Katiba na sheria - Fatma Karume
Back
Top Bottom