Search results

  1. Bonesmen

    Magufuli angekuwa salama zaidi karibu na matajiri kuliko 'watanzania masikini' ambao kimsingi hawakumchagua

    Masikini ni mtu dhaifu sana, Kiakili na Kipesa pia kumshawishi ni virahsi masikini haaminiki
  2. Bonesmen

    Tanzania's Presidential Protection Unit (PPU)

    Mkuu kiranga vp JPM?
  3. Bonesmen

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Bwana mdogo nae Amechoka sasa mana Kick zilikuwa kibao walau aonekane apewe u RC ila dizaini kama JPM kamvalia miwani ya mbao
  4. Bonesmen

    Nimekwama kuunganisha Card yangu Paypal,tatizo ni nini hapo?

    Sio internet banking mkuu kuna hudum kama mbili ivi iyo uliyotaja ni costfull sana Yeye Aombe fomu ya kuruhusu kadi ifanye online transaction.
  5. Bonesmen

    Nimekwama kuunganisha Card yangu Paypal,tatizo ni nini hapo?

    Iweke pesa mkuu kama elfu saba ivi watatoa kama elfu nne nafikiri huwez link card ambayo haina balance, Ikizingua Apo Rudi Crdb wakupe fomu ujanze Ya ku ruhusu ifanye miamala ya online, Mimi na recommend Bank ABC au Equity si wasumbufu
  6. Bonesmen

    Nimekwama kuunganisha Card yangu Paypal,tatizo ni nini hapo?

    Hio Acc ina Hela? Mana kulink kuna kama 1.95USD wanavuta then itarudi
  7. Bonesmen

    Happy birthday Emanuel Okwi, afikisha miaka 26

    Unarudi nyuma asee kutokea 30 na kitu ivi
  8. Bonesmen

    Happy birthday Emanuel Okwi, afikisha miaka 26

    Hahahaha Okwi na 26, Ndio yale yale diamond na kukomaa kote kule 27
  9. Bonesmen

    Kila Mkuu wa Mkoa wapitie mafunzo,

    Mkuu si anachagua ma Professor bna
  10. Bonesmen

    Msaada wa kisheria, nataka nikawashtaki Tigo na Tatu mzuka

    Mkuu hii kero sio wewe tu mimi kuna Hawa Vichwa Maji BIKO sijui ata namba yangu wametoa wapi wanakera sana
  11. Bonesmen

    Mafundi Wa umeme msaada

    Solved
  12. Bonesmen

    Kwanini wamama ni wahanga sana wa Makanisa?

    Mkuu hapana wala hashidi kwenye vigodoro ila nimemwambia Jumapili inatosha kuabudu
  13. Bonesmen

    Picha: Rais Mstaafu Dk.Jakaya Kikwete akivuna mahindi shambani na Mke wake Salma Kikwete

    Msheshimiwa Raisi mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunakutakia Maisha marefu na tunashukuru sana Kwa kulitumikia Taifa hili, Mungu akupe maisha marefu ni furaha yetu kukuona bado na afya safi
  14. Bonesmen

    Mjadala: TCU kuzuia vijana wa tahasusi ya CBG kusoma shahada za afya

    Sio mwenyeji halisi Wa Tz uyo, Anataka kuua Elimu yetu ili Siku Tukiungana East Africa basi Vijana kutoka Tz wakose Nafasi Kwa vile wengi Watakuwa na Elimu ya kati, Ww jiulize Mbona kenya hamna restrictions ivi
  15. Bonesmen

    Mjadala: TCU kuzuia vijana wa tahasusi ya CBG kusoma shahada za afya

    Ndalichako kuna Ameanza kazi yake ya kutuvuruga Watanzania, Tunahitaji Waziri wa Elimu mzawa halisi, Elimu ni very sensitive huyo Sleeper anatupeleka Chaka tu
  16. Bonesmen

    Let's see which team will win this Game of love

    I'm here on behalf of Joeverest
  17. Bonesmen

    Mtoto wa JK aula Etihad Airways

    Wewe jamaa nakuelewa sana , Huyo bwana mdogo hawezi kupata ajira ivo Etihad bila ata kuwa na masaa ya kutosha. Sema Dah ktk maraisi wote ambae Familia ake itasumbua kwa Utajiri miaka na miaka ni Mkwere, Huyu jamaa ni Fundi sana Wa fitna na Figisu kwa kiwango cha lami
  18. Bonesmen

    Naomba kufahamishwa faida na hasara za kusoma diploma

    Kuna Kampuni ya Kizungu kuna jamma angu alo Apply Kazi Ni kubwa tu Yani jamaa waliwambia watume CV tu bila matokeo ya aina yoyoye kuanzia ya Chuo mpaka sekondari wakisema mtumaji ila ahakikishe na tu ana diploma na O level , Zilipigwa mpaka interview bila muajiri kuwa na Matokeo ya hao anao wa...
Back
Top Bottom