Search results

  1. B

    Makinda amepewa escot ya polisi?

    mkuu wa majesh ni sawa kabisa kuwa na msafara. nilshakitana na msafara wake wa ajabu sana. gari lililokuwa na namba yake hakuwemo ilikuwa na maasakari tu yeye alikuwa kwenye gari ya mwisho tena one ten nyeupe ya zamani kidogo sikupoatapicha kabsa
  2. B

    Ajisaidie vipi jamaa?

    Awe wazi tu, hakuna jinsi, hospitali watapima then watatoa report. vifo vya ghafla vinatokea. kwenye mambo kama hayo kuna kuua bila kukusudia. kuna kesi moja jamaa alimbana sana mwanamke wakati anafurahia tendo la ndoa kumbe alishindwa kupumua akafa lakini jamaa alishinda kwani kesi ilikua...
  3. B

    Mwalimu nyerere foundation house

    hivi hawa jamaa wa Nyere foundation wana chochote wanafanya au wanganga njaa tu. naomba kujua programs zao na jinsi zinavyoimplementiwa. sina hakika sana na kama kuna kitu wanafanya. Sijawahi kuona hata kwenye TV kitu chochote kinachohusinana na mfuko huu. kama tunavyoona kwa Reginald Mengi.
  4. B

    Nini tofauti ya harrier ta-acu15w na acu15w?

    mimi ni mtaalam wa harrier Jet fighter. ni ndege ya kisasa ya kivita ambayo haihitaji run way ku take off. ina nyanyuka kama helcopter then ina change system na kuwa na power kama supper fighet jet zingine kama H35
  5. B

    Habari njema za uzima

    Kuna mkutano wa injili unaendelea kanisa la TAG Manzese B. Kibao chake kiko plae tiptop kama unaelekea ubungo kiko upande wa kushoto. kuna mhubiri pale anafundisha vitu ambavyo kama kuna mtu anatamani kujifunza kujua mafunuo ya maandiko nadhani itakuwa muhimu sana. seminar ipo kila siku kuanzia...
  6. B

    Naomba msaada

    jaribu bahati yako wizarani kwanza kwa verbal communication, then watakushauli
  7. B

    Members please help me secure a micro loan

    Nahitaji mkopo wa masharti nafuu sana wa shilling million Kumi. sina Fixed assets kama collateral ila nalipwa mshahara wa 1.5 M per month net. I want to open a very small business opportunity to get even 400,000 per month net profit. naomba kujua kama kuna bank ambayo inaweza kunisaidia katika...
Back
Top Bottom