Search results

  1. blackdog

    Freeman Mbowe must step down to allow the oppostion party(CHADEMA) to take off!

    DU, SIASA inawenyewe sisi yetu macho tu
  2. blackdog

    Ungekuwa wewe ungeomba nini?!

    mimi nitaomba kuaminiwa
  3. blackdog

    Huu sio wizi jamanii

    sijaelewa unamaanisha nn?
  4. blackdog

    Msaada kuhusu First Aid Kit kwenye gari ndogo, nimekamatwa asubuhi hii na Traffic

    du, hata mm ilishanitokea maeneo ya KIA. mara moja tu nilikuwa na haraka nakwenda Moshi sikuwaelewa nikaona tukibishana nitapoteza muda nikawaomba msamahani kwa kuwaambia nilikuwa sifahamu, nitanunua uko mbele walinielewa. lkn sina uhakika kama ni kosa kwa gari ya privet
  5. blackdog

    Inafaa kupunguza matumizi ya soda

    mkuu nilipokuwa nipo karibu na wasabato walinipatia habari za cocacola nikaachana nayo kabisa,kwani nilishaachana na bia kwa somo la leo niachane na aina zote za soda sasa fanta kwa heri.
  6. blackdog

    Running a salon business!

    Kwa mimi ninavyojua kikubwa ni mawazo,cha pili ni utafiti wa soko kutegemea na mtaji wa mfanyabiashara,mawazo umepata ya salon,soko bado (tafuta soko kulingana na eneo linganisha na mtaji ulionao),kushauri moja kwa moja bila kujua bajeti yako ni wingumu sana,kwani salon iliyopo magomeni ni...
  7. blackdog

    Eti mla poda, na mtoto wa watu ipi kwatu?

    kosa ni kosa tu,kwani wote ni mzigo kwa jamii na nikinyume na maadili ya kitanzania.(TUSILEE UJINGA KWA KUSEMA BORA YUPI?)
  8. blackdog

    Msaada wa kimawazo wana jf kuhusuu...!

    Mkuu,maombi yoyote ya serikalini provisional result haikubaliwi lakini unaweza omba kwa sifa ulizonazo result ikitoka utawajulisha viongozi wao watahifanyia kazi.
  9. blackdog

    nitapataje habari za tarehe za nyuma?

    wakuu, nisaidieni nimepata taarifa ya Hesabu za Bunge kwa mtu amenipigia simu.naomba mnisaidie nahitaji kutafuta GAZETI LA NIPASHE LA TAREHE 28/5/2011 kwa njia ya mtandao sijafanikiwa kupata kwani ni la tarehe ya nyuma sio leo.
  10. blackdog

    Kiboko ya wezi...........................

    huyo ni mshamba ,simu ni kitu kigeni kwakwa
  11. blackdog

    Haki za wanyama...sijui alikosa nini

    kuna mitazao mingi,unaweza jiuliza kwamba wanamwabudu kama mungu wao?
  12. blackdog

    Haki za wanyama...sijui alikosa nini

    walikosa kazi za kufanya,wanyama wana haki zao pia . sasa nini kosa la kusulubiwa hivyo,akili zao ni za kinyama .
  13. blackdog

    mimi wazungu nashindwa kuwaelewa akili zao

    wanaishi kama wanyama wapoli awana aibu hata kidogo.wanafanya kilicho mbele yao
  14. blackdog

    Jiji la dar litakuwa hivi baada ya miaka 100 ijayo

    speed yetu bado ni ndogo sana ,na plani zatu zinaupungufu mkubwa labda tujengewe miji yetu.
  15. blackdog

    Uzuri wa totozi za chuo Kenya

    mimi sijaona cha ajabu.
  16. blackdog

    Mhasibu, Polisi na Nesi.

    umesahau PS,atakuambia ndio Boss.
  17. blackdog

    msaada wa mawazo

    sawa kabisa,muda utamjibuu
  18. blackdog

    wale wasiozingatia nukta, koma, ques mark n.k

    imetulia Mkuu,mimi ni mmoja wapo?
Back
Top Bottom