Search results

  1. H

    KATIBA: CCT nao watoa tamko!

    Safi sana!!! C.C.T
  2. H

    Lipumba anatafuta nini? Mbona anaiandama CHADEMA kiasi hiki?

    Kaka tuletee data kamili............
  3. H

    C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

    Dr. Slaa ana uwezo mkubwa sana kielimu kuliko mtu aliyeko madarakan na kuthibitisha hili nimeamua kuonesha C.V yake ya kuonesha kiwango chake cha Elimu na Ufasaha wa mambo yake. Kumbe ni haki awasumbue wana CCM kwa hoja zilizoenda shule kama yeye. NAWASILISHA.
  4. H

    GOOD: DK Slaa atibua mambo kwa Wassira

    Nimeipenda sana zaidi ya sana. RAIS WANGU SLAA NAKUOMBEA UZIMA WA AFYA NJEMA ILI UENDELEE KUPIGANIA TAIFA.
  5. H

    Rais Kikwete mgeni rasmi Tamasha la Pasaka

    Sijakusoma mkuu hapo kwenye red ulikua na maana gani?
  6. H

    Ndesamburo kusafirisha wananchi bure kwenda Loliondo

    Mungu akuzidishie Mheshimiwa Ndesamburo.
  7. H

    Lowassa azungumzia kuanguka kwa Hosni Mubarak

    Kaka tuambie afadhali kwenye uongozi au ufisadi?
  8. H

    Dr. Slaa wodini Muhimbili Hospital

    Mtu aliye nitonya alikuwa Hospitaln hapo jumapili mchana kumuona mama yake nae alikuwa kafanyiwa upasuaji na ndipo alipomuona Rais Slaa akiwa wodini hapo na kuamua kunipa taarifa huku niliko. na kuhusu ulinzi nilipo uliza nikaambiwa ulinzi ni wa kutosha na ukiongeza wa Mungu ndo unakua imara...
  9. H

    Dr. Slaa wodini Muhimbili Hospital

    punguza hasira lengo langu ni kujua hali ya rais wangu nashangaa king kujibu short like that.
  10. H

    Dr. Slaa wodini Muhimbili Hospital

    Wadau wa JF kunatetesi kuwa Rais wetu Dr. Slaa amelazwa toka juzi jumamosi kwa tatizo la mkono kuwa kafanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Muhimbili kitengo cha Mifupa(MOI). Tunaomba mtujuze kama ni kweli kuhusu tetesi hizi sisi tulio mbali na Dar es salaam.
  11. H

    Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    Pole sana tunajua unamaumivu makali lakni MUNGU atakulinda na utapona. Damu yako italipwa.
  12. H

    Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    Hata wakiongeza kama haya 100000000 bado tutaendelea kusimamia kwenye ukweli pia tupo tayari kufa kwa ajili ya maslahi ya taifa na vizazi vijavyo.
  13. H

    Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

    Pole sana kaka popote pale ulipo ila unateseka kwa haki na Vizazi Vijavyo MUNGU yu pamoja nawe ipo siku ndoto zako zitatimia.
  14. H

    Dowans yampigilia msumari wa mwisho JK

    Sio aachie nchi ikiwezekana kuondoka kabisa nchini kwetu au afungwe maisha.
  15. H

    Habari za kutisha gazeti la mtanzania kuhusu chadema

    Gazeti hili huwa tunaliamini kwa ukweli lakni leo nashangaa habari zilizoandikwa ndani. Mtu mzima hatishiwi nyau. Tunaomba Watanzania kuwa wavumilivu kisiasa kwa sababu haya ni maneno ya kisiasa ila ukweli utabaki pale pale na bado tutaendelea kutetea ukweli na ukombozi wa Nchi yetu.
  16. H

    Habari za kutisha gazeti la mtanzania kuhusu chadema

    Ahsante kwa kuendelea kuwapa Watanzania moyo wa kuamini chama chetu.
  17. H

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Mfa maji haishi kutapatapa ccm wameishiwa sera na kung'ang'ania Udini Jamani Watanzania tusidanganyike na upuuzi wa watu wachache kutugawa pande mbili.
  18. H

    Tutamlinda Kikwete pia kwa kutumia nguvu za umma

    Nahisi wewe sio Mtanzania na kama ni Mtanzania hujui usemalo.
  19. H

    Vijana wa Tanzania waanzisha kampeni kutaka Kikwete AJIUZULU

    Hili ni chaguo la Shetani manake MUNGU katika Amri zake amezuia kuua sasa iweje mtu aue halafu umuite chaguo la MUNGU?
Back
Top Bottom