Search results

  1. K

    Nini kinachofanya JK asiteuwe RC mpaka leo??

    apewe muda tuone labda anasaka watendaji makini
  2. K

    Tutamlinda Kikwete pia kwa kutumia nguvu za umma

    hawana chochote kwanza waoga tupu tutawapopoa kwa risasi kama arusha thubutu yao,,,,jk anapeta tu mwana wa jakaya mpaka 2015,,
  3. K

    Dr. Slaa Kashamaliza bado sisi...

    ha ha ha ha ajikomboe na uzinzi kwanza mtu hata mke hana atatuongoza vipi,,,,chuki binafsi kwa JK ZITAWAUA WENGI KWA BP MWAKA HUU
  4. K

    Ikulu yageuka ukumbi wa sherehe mbalimbali!

    ha ha ha ha ha duuuuuh mazuri ya mkuu wetu wa kaya hamuyaoni kutwa kutafuta vinahau,,,ikulu ni ya watanzania wote mnakaribishwa,,,
  5. K

    CCM Marekani yavurugana, Makamba yuko wapi?

    ccm ccm ooh chama cha mapinduzi,ccm nambari one............... Kazi tunazo mama ni mapenzi ya dhati kwa ccm ndio yanayonisumbua,dr.jakaya wa kikwete yupo juu indeed,,
  6. K

    Vijana wa Tanzania waanzisha kampeni kutaka Kikwete AJIUZULU

    ha ha ha ha ndoto za mchana hizo,,tutawarundika jela na vijana wa siku hizi walivyo mayai washazoea mkate wa kupakwa siagi chamoto watakiona tunajua wanaowatuma dawa yao ipo jikoni
  7. K

    Mjadala wa DOWANS ITV waibua mapya!

    huyo mkinga ana hamu ya kuuza kibanda chake,ataburuzwa mahakamani ukoo wake nzima watachangishana,,,ha ha ha njaa kitu kibaya sana
  8. K

    Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

    Huyo padri ana akili nyingi sana,,anastahili tuzo iliyotukuka j.tatu tukirudi maofisini lazma tuangalie namna ya kumtuza,,ni ukweli vijana wanatumika,uchaguzi umepita,jakaya kikwete ndio rais till 2015 kama hutaki hama nchi....ha ha ha ha ha,,njaa kitu kibaya sana mpaka inakufanya mtu uanzishe...
  9. K

    Shame upon you Chadema - Mhariri wa gazeti la serikali huyo

    ukweli unauma ila ndio hivyo mbona hawakujipigisha risasi akina mbowe wenyewe,,tunataka siasa za kistaarabu,mkishindwa uchaguzi jipangeni 2015 sio kutuletea fujo dr.jk hataki maskhara muhula huu,atapopoa mmoja mmoja mpaka mshike adabu ccm ccm oooh chama cha mapinduzi,ccm nambari one...kama...
  10. K

    Wasifu wa Godbless Lema (MP)

    exactly,,,tena ni mchaga kama mbowe
  11. K

    Othman bosi wa usalama wa taifa na jaji mkuu othman chande ni ndugu

    Kikwete kikwete ndio ndio ndio tumpambe maua ..... Ccm ccm oooh chama cha mapinduzi ccm kiboko yao
  12. K

    Chadema wakwepa mtego mwingine pwani

    Ccm ccm oohhh chama cha cha mapinduzi...kiboko yao
  13. K

    Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

    kila akipigwa photo inaungua,,ni jasusi kweli kweli kuna vitu anapaka usoni camera hazifanyi kazi
  14. K

    Chatanda azua tena mvutano CCM, Chadema Arusha

    Ha ha ha mh mh mh usilolijua kama usiku wa giza
  15. K

    Mpendazoe kuhusishwa na mtandao wa madawa ya kulevya?

    Ccm ccm oooh chama cha mapinduzi ccm,,,duuh pole mpendazoe ndio siasa za kitz haziko straight rafu nyingiiiiiiiiiii
  16. K

    Elections 2010 Pinda amweka kiti moto Mwema sakata la Arusha

    [CCM CCM OOOOH CHAMA CHA CHA MAPINDUZI,,CCM NUMBER ONEEEEE Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameingilia kati vurugu zilizotokea Arusha kutokana na mvutano wa kisiasa baina ya CCM na Chadema kuhusu suala la Meya wa Jiji la Arusha akitaka kuwapo suluhisho la kudumu baina ya pande mbili...
  17. K

    CCM yawataka Maaskofu wavue majoho...

    Duuuuh mama kachemka,,asije akatengwa kama kule sumbawanga oooh siasa za kupita tu hizi
Back
Top Bottom